Month: February 2018
WAZIRI JAFO ATEMBELEA JIMBONI KWAKE AJIONEA KERO ZINAZOWAKABILI WAPIGA KURA WAKE
Waziri wa nchi ofisi ya Rais TAMISEMI Seleman Jafo akizungumza na baadhi ya walimu wa shule ya sekondari Makulunge iliyopo kata ya kiluvuya katika halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe,Mkoa wa Pwani alipofanya ziara yake ya kikazi kwa ajili ya kutembelea…
MBOWE ASAKWA NA JESHI LA POLISI KWA KUWAZUIA POLISI KUTEKELEZA MAJUKUMU YAO NA KUSABABISHA KIFO CHA MWANAFUNZI WA NIT
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam Lazaro Mambosasa amesema kuwa, wanawashikilia askari 6 ambao wametumia silaha za moto katika uchaguzi huu mdogo wa Kinondoni. Aidha, Mambosasa amesema kwamba, CHADEMA waliwazuia Polisi kutekeleza wajibu wao ndio sababu nguvu…
KUFUATIA KIFO CHA MWANAFUNZI WA NIT, RAIS MAGUFULI ATOA AGIZO
Rais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli ametuma salamu za pole kwa familia ya Akwilina Akwilini aliyeuawa baada ya kupigwa na risasi katika maandamano wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Februari 16, 2017 eneo la Kinondoni…
Mtulia Ashinda Ubunge Jimbo la Kinondoni
Tume ya Uchaguzi (NEC) imemtangaza Maulid Mtulia wa Chama cha Mapinduzi(CCM) kuwa mshindi wa uchaguzi mdogo wa Ubunge, Jimbo la Kinondoni baada ya kupata kura 30,313 dhidi ya mpinzani wake wa karibu, Salum Mwalim (CHADEMA) aliyepata kura 12,353
CHADEMA wayakana matokeo ya Uchaguzi wa Marudio majimbo ya Kinondoni na Siha
Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr. Vicent Mashinji imeeleza kuwa baada ya upigaji wa kura katika uchaguzi kumalizika Chadema wametoa tathmini yao ya awali juu ya mwenendo wa uchaguzi wa marudio uliofanyika jana Februari 17, 2018, kwenye majimbo…