JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: February 2018

CCM yashinda Siha, Kinondoni “Zaidi ya wapiga kura laki tatu wasusia”

*Zaidi ya wapiga kura laki tatu wasusia DAR ES SALAAM NA WAANDISHI WETU Wagombea wa Chama Cha Mapinduzi, katika uchaguzi mdogo uliofanyika katika majimbo ya Siha na Kinondoni, wameibuka washindi. Jimbo la Siha, Dk.Godwin Mollel ametangazwa mshindi, huku Kinondoni akitangazwa…

ZIARA YA WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ILEMELA NA NYAMAGANA. MKOANI MWANZA

 Baadhi ya watumishi wa  Halmashauri ya wilaya ya Ilemela na Nyamagana wakimsikiliza Waziri  Mkuu, Kassim Majaliwa  wakati alipozungumza nao kwenye ukumbi wa Benki Kuu jijini Mwanza  Sehemu ya watumishi wa  Halmashauri ya wilaya ya Ilemela na Nyamagana wakimsikiliza Waziri  Mkuu, Kassim…

Udumishaji wa udugu na Nchi za Kirafiki na Misaada kwa Wapigania Uhuru

Wiki iliyopita tulipata kusoma katika maandiko ya mwalimu  “Maendeleo ni Kazi” jinsi chama kilivyotoa maagizo mawili ambayo ni siasa ni kilimo na agizo juu ya viwanda vidogo vidogo kama njia ya kutekeleza masharti ya uongozi. Sehemu inayofuata ni mwendelezo wa…

TIRDO: Maabara za utafiti wa kukuza uchumi viwanda

DAR ES SALAAM NA CLEMENT MAGEMBE Shirika la Utafiti wa Maendeleo ya Viwanda nchini (TIRDO), limesema kwamba mwaka huu linaendelea kufanya utafiti wa kina kuhusu uanzishaji wa viwanda na kuipeleka nchi katika kukuza uchumi kwa njia ya viwanda. Mkurugenzi Mkuu…

Fastjet na roho mbaya

Mpita Njia (MN) hukutana na mambo mengi ambayo wakati mwingine anashindwa kuyanyamazia, na hivyo kuwafanya baadhi ya watu wamwone kama mtu ‘mfukunyuku’. Februari 12, 2018, MN alikuwa miongoni mwa wasafiri wa ndege ya Fastjet yenye namba FN-144 kutoka Mwanza kwenda…