JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: February 2018

Serikali ichunguze e-passport

Wiki mbili zilizopita tumechapisha habari za uchunguzi juu ya mradi wa e-passport. Tumeeleza katika habari hizo kuwa kuna ufisadi unaokadriwa kufikia Sh bilioni 90, fedha ambazo waliokabidhiwa jukumu la kutafuta mzabuni kama wangetenda kwa masilahi ya taifa basi zingeokolewa. Katika…

Ligi ya Bundesliga kubadilishwa

Berlin, Germany Mchezaji wa zamani wa klabu ya Bayern Munich ya Ujerumani, Stefan Effenberg, amesema kuna haja ya mfumo wa ligi ya nchi hiyo kufanyiwa marekebisho kwa manufaa ya klabu na timu ya taifa ya nchi hiyo. Amesema ligi ya nchi hiyo…

Viongozi wajifunze kwa Ellen Sirleaf

NA MICHAEL SARUNGI Wiki chache zilizopita, Rais mstaafu wa Liberia, Ellen Johnson Sirleaf, alitunukiwa tuzo ya Mo Ibrahim ya  mafanikio katika uongozi wake katika kipindi cha mwaka uliopita, na kujizolea kiasi cha dola za Marekani milioni tano. Mwanamama huyo shupavu, ameiongoza…

Simba na Yanga zatahadharishwa

NA MICHAEL SARUNGI Ushindi wa klabu za Simba na Yanga katika mechi za kimataifa zilizocheza haziwezi kuwa kipimo cha ubora wao katika mashindano hayo ya kimataifa kutokana na udhaifu uliooneshwa na wapinzani wao, badala yake wanapaswa kujitathmini kabla. Wakizungumza na…

Wazee amkeni, simameni mseme

Ubaguzi katika nchi yetu umeanza kushamiri. Hatuhitaji mwalimu wa kutuweka darasani kutufundisha kulibaini tatizo hili. Kauli zinazotolewa na baadhi ya watawala (siyo viongozi), akiwamo Mkuu wa Mkoa wa Manyara, zimeanza kuzaa matunda. Sote tunatambua kuwa AMANI ni zao la HAKI….

Musoma Vijijini inateketea (1)

Na Dk. Felician Kilahama Kwanza nianze makala hii kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu ambaye kwa mapenzi yake ametujalia zawadi ya uhai mpaka tukaweza kuufikia mwaka 2018. Ni mwaka wa matumaini, lakini pia umeanza kwa baadhi ya maeneo nchini mwetu kugubikwa na…