Month: January 2018
TUNDU LISU: BADO NINA RISASI MWILINI MWANGU
HALI ya Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu inaendelea kuimarika huku akiendelea na mazoezi ya viungo katika Hospitali ya Nairobi nchini Kenya ambako anapatiwa matibabu ya majeraha aliyoyapata baada ya kushambuliwa kwa risasi nyumbani kwake Area D, mjini Dodoma mnamo…
KATIBU MKUU WA CUF, MAALIM SEIF AMPONGEZA RIS MAGUFULI
Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad, amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Magufuli, kwa kuiongoza nchi vizuri kwa mwaka uliopita wa 2017. Seif ametoa pongezi hizo katika salamu zake za mwisho…
PROF ABDALLAH SAFFARI: Haja ya Kuwa na Mahakama ya Juu Tanzania
Tarehe 9 Desemba mpiga solo mahiri Tanzania kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Nguza Viking, kwa lakabu ya muziki, Big Sound alitoka Gereza la Ukonga, Dar es Salaam ambako alikuwa akitumikia kifungo cha maisha. Aliachiwa baada ya kunufaika na…
HIVI NDIVYO RAIS MSTAAFU, JAKAYA KIKWETE ALIVYOUPOKEA MWAKA MPYA 2018 MSOGA
Rais Mstaafu, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na Mkewe Mama Salma Kikwete wakiwa pamoja na Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgallu, sambamba na wananchi wa mji wa Msoga Mkoani Pwani kusherehekea kuukaribisha mwaka mpya wa 2018 katika hafla iliyoandaliwa na Dkt….
JPM ATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KWA KENYATTA
Rais Dkt Magufuli amemtumia salamu za rambirambi Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta kufuatia ajali kati ya basi la abiria na lori la mizigo, iliyopelekea vifo vya watu takribani 36 na wengine kujeruhiwa iliyotokea jana asubuhi.
SINGIDA KASKAZINI KUMEKUCHA, CCM WAPIGA FILIMBI YA KUTAFUTA KURA KWA WANANCHI
Baadhi ya wanachama wa CCM waliohudhuria mkutano wa uzinduzi wa kampeni za uchaguzi mdogo wa jimbo la Singida kaskazini wakiwa kwenye viwanja vya mkutano uliofanyika katika Kijiji cha Mtinko,singida vijijini juzi. Baadhi ya wanachama wa CCM waliohudhuria mkutano wa uzinduzi…