JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: January 2018

KOMBE LA MAPINDUZI, AZAM YAITANDIKA MWENGE FC 2-0

Mabingwa watetezi wa Kombe la Mapinduzi Azam FC imeanza vyema harakati za kutetea ubingwa wa michuano hiyo baada ya jana usiku kushinda mabao 2-0, timu ya Mwenge FC katika mchezo wa kundi A, uliopigwa uwanja wa Amaan Zanzibar. Kocha wa…

HUMPHREY POLEPOLE AMTADHARISHA LEMA JIMBO LA ARUSHA 2020

Katibu wa Itikadi na Uenezi  wa  Chama Cha Mapinduzi CCM, Humphrey Polepole amemtahadharisha Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema kwa kumwambia kipindi hiki ni cha mwisho kuongoza Jimbo hilo la Arusha Mjini. Hayo yamekuja mara baada ya Mbunge huyo kupitia…

KITAMBULISHO CHA KUPIGA KURA BATILI KAMA HAUTAKUWA NA KITAMBULISHO CHA URAIA

Waziri wa Mambo ya Ndani, Dkt Nchemba amesema, uandikishaji wa vitambulisho vya Taifa utakapokamilika, vitambulisho hivyo vitatumika kupigia kura. Amesisitiza, mwananchi akiwa na kitambulisho cha kupigia kura, kitakuwa batili kama hatakuwa na kitambulisho cha uraia. Hivyo wamewataka wanachi wa maeneo…

MASOUD KIPANYA AJITOKEZA MITANDAONI NA KUANDIKA HAYA

Jana jioni kwenye mitandao ya kijamii ilizuka taarifa kuwa Masoud Kipanya amekamatwa na Jeshi la Kanda maalum Dar es Salaam kutokana na kati ya michoro yake ya katuni ikionekana kama inaigombanisha Serikali na Wananchi, hata hivyo kituo cha Redio Clouds…

Haya Hapa Magazeti ya Leo Januari 2, 2018

Kama upo mbali na meza za magazeti mtaani kwako basi husipitwe na kilichoandikwa kwenye magazeti ya leo Jumanne Januari,02, 2018 nimekuekea hapa

MAMBOSASA: MWENYE TAARIFA YA MASUDI KIPANYA KUKAMATWA ATUAMBIE KITUO GANI KAKAMATWA

Majira ya jioni leo Januari Mosi 2018 zimesambaa taarifa kupitia mitandao ya kijamii kwamba, mchora katuni maarufu Tanzania, Masoud Kipanya amekamatwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kufanya uchochezi. Taarifa hizo zinadai kuwa, Masoud Kipanya ambaye pia ni mtangazaji…