JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: January 2018

Haya Hapa Magazeti ya Leo Januari 30, 2018

Kama upo mbali na meza za magazeti mtaani kwako basi husipitwe na kilichoandikwa kwenye magazeti ya leo Junne Januari,30, 2018 nimekuekea hapa    

YANGA KUKWEA PIPA ALFAJIRI KESHO KUWAHI MECHI SAA 10 JIONI

  KIKOSI cha Yanga kesho kinatarajia kukwea pipa alfajiri na mapema ili kuwahi mechi yao  dhidi ya Ihefu ikiwa ni mchezo wa kombe la Azam Sports HD  utakaopigwa kwenye Uwanja wa Sokoine  Jijini Mbeya majira ya saa 10 jioni siku…

UFAFANUZI WA KUKAMATWA KWA GARI YA MSTAHIKI MEYA WA JIJI LA DAR ES SALAAM

Ndugu waandishi wa habari. Napenda kutumia fursa hii kuwapa pole wananchi wa jiji la Dar es Salaam kutokana na taarifa ambazo zimeripotiwa leo kwenye baadhi ya magazeti. Jumamosi ya Tarehe 27 Mstahiki Meya wa jiji la Dar es Salaam Isaya…

Rais Magufuli Akutana na Dkt. Slaa Ikulu

Rais Magufuli akifurahia jambo na Dkt. Slaa.   RAIS Dkt. John Magufuli amempongeza Balozi mteule Dkt. Wilbrod Slaa kwa moyo wake wa kizalendo wa kukubali kwenda kuiwakilisha nchi ya Tanzania katika taifa ambalo atapangiwa muda wowote kutoka sasa huku akijivunia…

UFAFANUZI WA KUKAMATWA KWA GARI YA MSTAHIKI MEYA WA JIJI LA DAR ES SALAAM

Ndugu waandishi wa habari. Napenda kutumia fursa hii kuwapa pole wananchi wa jiji la Dar es Salaam kutokana na taarifa ambazo zimeripotiwa leo kwenye baadhi ya magazeti. Jumamosi ya Tarehe 27 Mstahiki Meya wa jiji la Dar es Salaam Isaya…

Nabii Tito Apandishwa Mahakamani, Anyimwa Dhamana

Onesmo Machibya almaarufu Nabii Tito aliyetengeneza vichwa vya habari kutokana na mahubiri yake ya kuhimiza ulevi na uasherati, amepandishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma, na kusomewa mashtaka ya kujaribu kujiua. Nabii Tito alifanya jaribio la kujiua Januari 25, mwaka…