JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: January 2018

Mauaji Yaongezeka Yemen

Muungano wa kijeshi unaoongozwa na Saudi Arabia umeua raia 109 katika mashambulizi tofauti ya ndege katika kipindi cha siku 10, wakiwemo watu 14  wa familia moja na kuacha simanzi kubwa katika familia hiyo. Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa nchini…

China Yapuuza Vikwazo vya UN

Rais wa Marekani Donald Trump ameilaumu nchi ya China kwa kukiuka vikwazo vilivyowekwa na Umoja wa Mataifa dhidi ya Korea Kaskazini kwa kuzipa matuta meli za nchi hiyo. Rais Trump aliandika katika ukurasa wake wa twitter kuwa China imeshuhudiwa ikiruhusu…

Lusinde Ajivunia Mtoto ‘Kipanga’

Kuna usemi usemao unapopima maendeleo ya mtu usiangalie alipo, angalia mahali alipotokea. Usemi huo ndiyo unayagusa maisha ya Mbunge wa Mtera, Livingstone Lusinde (CCM), hususani katika muktadha wa elimu. Lusinde amekuwa Mbunge wa Jimbo la Mtera, Mkoani Dodoma katika vipindi…

Haya Hapa Magazeti ya Leo Januari 5, 2018

Kama upo mbali na meza za magazeti mtaani kwako basi husipitwe na kilichoandikwa kwenye magazeti ya leo Ijumaa Januari,05, 2018 nimekuekea hapa

Tanzia: Mke wa Mzee Kingunge Afariki Dunia

MKE wa mwanasiasa mkongwe nchini, Kingunge Ngombale Mwiru, Peras Kingunge amefariki dunia leo Alhamisi katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili. Mtoto wa Kingunge, Kinje Ngombale amethibitisha kutokea kwa msiba huo na kueleza kifo cha mama yake kimetokea wakati baba yake…

BOT: BENKI ZILIZOFUNGIWA ZITAKUWA CHINI YA UANGALIZI MAALUMU

Benki Kuu ya Tanzania(BOT) imezifutia leseni benki 5 baada ya kukosa mtaji na fedha za kutosha kujiendesha. Benki hizo ni Covenant Bank for Women, Efatha Bank Limited, Njombe Community Bank, Meru Community Bank na Kagera Farmers’ Cooperative Bank. Gavana wa…