JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: January 2018

SUMAYE: SINA MPANGO WA KURUDI CCM, AWATAJA JPM, JK NA MKAPA

KUTOKANA na kuibuka kwa wimbi la baadhi ya wanasiasa hapa nchini kuhama vyama vyao, Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Frederick Sumaye ambaye ni kada wa Chadema amefunguka na kusema kuwa hana mpango wa kurudi Chama Cha Mapinduzi…

RUGEMARILA AWATAJA “WEZI” WA ESCROW

MFANYABIASHARA, James Rugemalira anayekabiliwa na kesi ya utakatishaji fedha amewataja aliodai ni wezi wa fedha za Escrow katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kama alivyosema awali kwamba anawafahamu. Watu hao amewataja mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas Simba,  baada ya…

Azam Yachezea Kichapo Kutoka kwa URA

Azam FC italazimia kuifunga Simba leo ili kuweka hai matumaini ya kutetea ubingwa wake baada ya jana kufungwa na URA bao 1-0 Mabingwa watetezi wa michuano ya Kombe la Mapinduzi leo wameonja joto ya michuano hiyo baada ya kupokea kipigo…

HII NDIO ZIARA YA MWENYEKITI WA CCM WILAYA UBUNGO, LUCAS MGONJA ILIVYOKUWA

 Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Ubungo Lucas Mgonja akizungumza na viongozi wa Wilaya hiyo katika Mkutano wa ndani uliofanyika jana katika Kata ya Msigani wilayani humo, ikiwa ni sehemmu ya ziara yake ya kuimarisha uhai wa Chama. Kushoto ni Katibu…

TUNDU LISSU AZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI NAIROBI

MBUNGE wa Singida Mashariki, Tundu Lissu (CHADEMA), leo Ijumaa Januari 5, 2017 kwa mara ya kwanza tangu ajeruhiwe amezungumza na waaandishi wa habari jijini Nairobi nchini Kenya anakopatiwa na kusema kilichotokea kwake kwa maoni yake ilikuwa ni mauaji ya kisiasa…

MZEE KIKWETE AONGOZA MAZISHI YA ATHUMANI MSENGI

  Rais Mstaafu ya Awamu ya Nne Dr. Jakaya  Kikwete akiweka udongo katika kaburi la aliyekuwa mpiga picha Mkuu wa Magazeti ya Serikali Athumani Hamisi katika maziko yaliyofanyika Makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam Waziri wa Habari Sanaa, Utamaduni…