Month: January 2018
AFRICAN SPORTS YAPATA NEEMA KUTOKA KWA WAZIRI UMMY MWALIMU
WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii Jinsia,Wazee na Watoto,Ummy Mwalimu katikati akimkabidhi vifaa vya michezo ambavyo ni viatu Mwenyekiti wa timu ya African Sports Awadhi Salehe Pamba ikiwa ni kuipa motisha timu hiyo kufanya vizuri kwenye michuano wanayoshiriki ili waweze…
RC WANGABO AAGIZA KAMATI ZA ULINZI NA USALAMA ZISIMAMIE USAMBAZAJI WA PEMBEJEO
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo akizungumza na wadau wa kilimo Mkoa wa Rukwa (hawapo kwenye picha) katika Kikao kilichowajumuisha Wataalamu wa kilimo ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Wakuu wa Wilaya, Kamati za ulinzi na usalama ya Mkoa…
WAZIRI MKUU AHIMIZA KILIMO CHA KAHAWA
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka wananchi wa wilaya ya Songea mkoani Ruvuma wajikite kwenye zao la kahawa ili wawe na zao mbadala la biashara. Ametoa wito huo leo Januari 5, 2017 wakati akizungumza na wakazi wa kijiji cha Lipokela na…
DIWANI WA CHADEMA ALIYEJIUNGA NA CCM AWAPA USHAURI CHADEMA
Diwani wa Kata ya Turwa wilayani Tarime, Zakayo Chacha Wangwe aliandika barua na kueleza sababu ya kujiuzulu nafasi hiyo kuanzia jana Januari 5, 2018 kutoa ushauri kwa wanachama wengine ambao bado wapo upinzani.
Viwanda 5 vya Samaki Vilivyokamatwa na Samaki Wasioruhusiwa Mwanza Hiv Hapa
Meneja uchakataji wa Kiwanda cha kuchakata samaki Victoria cha jijini Mwanza, Endwin Okwong’o (aliyeshika kofia) akimuelezea Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Luhaga Mpina (mwenye miwani), namna ambavyo wanapokea samaki kutoka kwa mawakala na kuwachambua kabla ya hatua ya kuchakata…
MECHI YA SIMBA VS AZAM NI KAMA FAINALI
Timu za Simba na Azam leo zitakumbushia fainali ya Kombe la Mapinduzi ya mwaka 2017, wakati itakapo kutana katika hatua ya makundi Azam FC na Simba zote za Dar es Salaam kesho zinatarajia kuchuana katika mchezo wa hatua ya makundi…