Month: January 2018
TUNDU LISSU AWASILI NCHINI UBELGIJI KWA MATIBABU
Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu amewasili jijini Brussels, nchini Ubelgiji alikopelekwa kwa ajili ya matibabu zaidi na mazoezi ya viungo. Jana aliondoka katika Hospitali ya Nairobi alikolazwa kwa takribani miezi minne akipatiwa matibabu.
AZAM YAENDELEZA UBABE KWA SIMBA KOMBE LA MAPINDUZI
Mshambuliaji Iddi Kipwagile ameihakikishia timu yake ya Azam kutinga nusu fainali ya kombe la mapinduzi baada ya kuifunga Simba bao 1-0 Kikosi cha Azam FC leo kimeonyesha dhamira yake ya kutaka kutetea ubingwa wa kombe la Mapinduzi baada ya kuibuka…
KINGUNGE ANENAMAZITO KWA MAGUFULI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amemjulia hali mwanasiasa mkongwe Mzee Kingunge Ngambale Mwiru aliyelazwa katika wodi ya Mwaisela, Hospitali ya Taifa Muhimbili.
CCM YAWATEUA MTULIA NA DKT MOLEL KUWANIA UBUNGE SIHA NA KINONDONI
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Hamphrey Polepole. Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimewarudisha waliokuwa wabunge wa upinzani kugombea majimbo ya Siha na Kinondoni baada ya wabunge hao kuijiunga na chama hicho. Taarifa iliyotolewa Jana Jumamosi na Katibu wa Itikadi…
Haya Hapa Magazeti ya Leo Januari 7, 2018
Kama upo mbali na meza za magazeti mtaani kwako basi husipitwe na kilichoandikwa kwenye magazeti ya leo Jumapili Januari,07, 2018 nimekuekea hapa
DOTTO BITEKO: ASANTE RAIS MAGUFUL KWA KUNIAMINI NAKUNIPA NAFASI YA KULITUMIKIA TAIFA LANGU
Naibu waziri mteule wa Wizara ya Madini, Dotto Biteko amemshukuru Rais Jonh Magufuli kwa kumuamini na kumpa nafasi ya uongozi katika Taifa. Biteko ambae ni Mbunge wa Bukombe amesema sifa na utukufu ni kwa Mungu na hana cha kusema zaidi…