Month: January 2018
Rais Magufuli Aanika Madudu Zaidi Wizara ya Madini
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ameanika madudu mengine ya Wizara ya Madini akisema kuwa baadhi ya wateule wake katika wizara hiyo wamekuwa wazembe katika kutekeleza maagizo na kutimiza majukumu yao kama watendaji wa serikali….
TANZIA: Beki wa Zamani wa Yanga na Taifa Stars, Jogoo Afariki dunia
TANZIA: Beki wa kati(Sentahafu) wa zamani wa Klabu ya Yanga na Timu ya Taifa(Taifa Stars), Athuman Juma Chama maarufu kama Jogoo amefariki asubuhi ya leo, Mchazaji huyo amefariki katika Hospitali ya Taifa Muhimbili alikokuwa akipatiwa matibabu ya ugonjwa wa presha…
Rais Magufuli Amuapisha Dotto Biteko kuwa Naibu Waziri wa Madini
Rais Dkt. John Pombe Magufuli ameamuapisha Mhe. Doto Mashaka Biteko kuwa Naibu Waziri wa Madini, Ikulu Jijini Dar es Salaam leo. Rais Dkt. John Pombe Magufuli ameamuapisha Mhe. Doto Mashaka Biteko kuwa Naibu Waziri wa Madini, Ikulu Jijini Dar es…
WAZIRI MKUU AWAONYA DC NA DED NYASA
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewaonya Mkuu wa Wilaya ya Nyasa, Bi. Isabella Chilumba na Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo, Dk. Oscar Mbyuzi waache malumbano ambayo yanawavuruga watendaji walio chini yao. Ametoa agizo hilo jana (Jumamosi, Januari 6, 2018) wakati akizungumza na…
WAZIRI MKUU AAGIZA VIONGOZI NCHINI WATOE TAARIFA
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewaagiza Mawaziri wote, Naibu Mawaziri, Makatibu Wakuu, Wakuu wa Mikoa na Wilaya na Wakurugenzi watoe taarifa za fedha za miradi ya maendeleo kwa wananchi badala ya kusubiri ziara za viongozi wakuu. Ametoa agizo hilo jana (Jumamosi,…
Philippe Coutinho Rasmi Barcelona, Asaini Miaka 5
Barcelona imetangaza kuwa wamekamilisha usajili wa Philippe Coutinho kwa mkataba wa miaka mitano kutoka Liverpool Miamba hao wa La Liga walimkosa Mbrazili huyo dirisha la uhamisho wa majira ya joto licha ya kutoa ofa tatu nono, lakini baada ya tetesi…