JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: January 2018

UNAJUA KWANINI LIVERPOOL WALIMUUZA COUTINHO, SOMA HAPA

Meneja wa Timu ya Liverpool, Jurgen Kloop ameeleza kuwa klabu yke ilifanya kila iwezalo ili kuendelea kuwa na mchezaji Phillipe Coutinho, lakini mwisho wa siku mchezaji huo raia wa Brazili alikuwa na tamaa ya kwenda kuichezea Klabu ya Barcelona. Hatimaye…

Hivi Ndivyo Mvua ya Ilivyosababisha Adha kwa Wananchi wa Dar es Salaam

MVUA kubwa zinazoendelea kunyesha jijini Dar es Salaam na sehemu mbalimbali nchini zimeleta adha kwa wakazi wake ambapo mvua hizo zilizoanza kunyesha alfajiri leo zilisababisha foleni nyingi katika maeneo mbalimbali hasa eneo la Jangwani. Mbali ya foleni pia mvua hizo…

SERIKALI KUENDELEA KUSHIRIKIANA NA TUCTA KUONGEZA TIJA NA UFANISI SEKTA YA KAZI

  Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira,Vijana  na watu wenye ulemavu) Mhe.  Jenista Mhagama amesema serikali itaendelea  kushirikiana na Shirikisho la Vyama vya  Wafanyakazi Nchini (TUCTA) katika kuleta tija na ufanisi katika sekta ya kazi kwa…

Serikali kununua mabehewa ya kisasa 1590

Mkurugenzi Mkuu, Idara ya Habari – Maelezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbasi amesema kuwa serikali imeendelea kutekeleza mafanikio na miradi mbalimbali mikubwa Kitaifa. Akizungumza na wanahanari leo, Dkt. Abbas amesema kuwa pamoja na hayo yote miradi ikiwa…

Serikali Yawatoa Hofu Wananchi Kuhusu Tatizo la Umeme

Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo na Msemaji wa Serikali, Dk Hassan Abass. Serikali imewatoa hofu Watanzania kuhusu tatizo la umeme na utekelezaji wa mradi wa treni ya umeme nchini ambao ujenzi wake unaendelea. Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo…

NECTA Yatangaza Matokeo ya Kidato cha Pili, Darala la Nne

BARAZA la Mitihani Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya mitihani ya upimaji wa darasa nne na kidato cha pili iliyofanyika Novemba mwaka jana, huku idadi kubwa ya wanafunzi wakifaulu vizuri katika mitihani hiyo. Akitangaza matokeo hayo leo Jumatatu, Januari 8, Katibu…