Month: January 2018
Muslim Hassanali Ajiunga CCM Akitokea Chadema
Muslim Hassanali, aliyekuwa mgombea ubunge wa Jimbo la Ilala 2015. ALIYEKUWA mgombea ubunge Jimbo la Ilala kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) katika uchaguzi mkuu wa 2015, Muslim Hassanali, amejiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kupokelewa na Makamu…
Mbowe Kususa Uchaguzi Unaua Upinzani
Kwa mara nyingine ndugu msomaji naomba kukupa heri ya mwaka mpya 2018. Najua utakuwa umeshangaa leo inakuwaje naandika juu ya uchaguzi na naacha kugusia suala la muhogo. Muhogo sitauacha. Chini ya makala hii naeleza fursa mpya iliyopatikana ya muhogo. Kelele…
WASIORUDISHA MIKOPO HESLB WADHIBITIWE
Moja ya maeneo yanayotajwa mara kwa mara kuliwezesha Taifa kukabiliana na maadui watatu yaani ujinga, maradhi na umasikini ni uboreshaji wa sekta ya elimu na ongezeko la wataalamu na wanataaluma wa ndani. Sekta ya elimu inayoanzia ngazi ya msingi hadi…
Muhogo ni Fursa Kuelekea Viwanda
Tangu Oktoba, mwaka jana nimekuwa nikiandika juu ya fursa ya kilimo cha muhogo. Maandishi yangu haya yametokana na ziara niliyoifanya nchini China. Taifa hilo limetenga wastani wa dola za Marekani bilioni 5 kununua muhogo kutoka Tanzania. Kufikia mwaka 2020 nchi…
YANGA USO KWA USO NA URA NUSU FAINAL YA KOMBE LA MAPINDUZI
Kufuatia matokeo ya jana kuanzia mchezo wa mapema uliowakutanisha Simba na URA, na kushuhudia Simba kipandishwa boti kurudi Dar es Salaam kwa kufungwa bao 1-0, na kuifanya URA kufika point 10 na kuongoza kundi A huku Azam ikishika nafasi ya…
SINGIDA UNITED YAIDHIBITI YANGA KOMBE LA MAPINDUZI
Makocha wa timu za Yanga na Singida United wametunziana heshima baada ya timu zao kumaliza dakika 90 zikitoka sare ya 1-1 Kombe la Mapinduzi Wachezaji wa Yanga wamelazimika kupambana hadi dakika ya mwisho na kufanikiwa kupata sare ya 1-1, dhidi…