Month: January 2018
Meli ya Kubeba mafuta Yateketea kwa Moto Pwani mwa China
Hali mbaya ya hewa inatatiza juhudi za kuzima moto na kufuja kwa mafuta zaidi ya saa sitini. Meli ya mafuta ya Iran inateketea kwa moto baada ya meli mbili kugongana kusini mwa bahari ya China. Meli hiyo kwa jina Sanchi…
Zimbabwe Yachunguza Shahada ya Uzamifu ya Grace Mugabe
Mamlaka ya kukabiliana na ufisadi nchini Zimbabwe imeanzisha uchunguzi kuhusu shahada ya udaktari iliopewa mkewe Robert Mugabe, Grace Mugabe kulingana na ripoti ya AFP. Phyllis Chikundura ,msemaji wa tume ya kukabiiana na ufisadi nchini humo alithibitisha kuwa kulikuwa na uchunguzi…
JPM Akutana na Kufanya Mazungumzo na Lowassa, Ikulu
Rais Dkt. John Pombe Magufuli leo Jumanne, Januari 9, 2018 amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Edward Ngoyai Lowassa Ikulu jijini Dar es Salaam. Lowassa ambaye pia ni Kiongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo na alitekuwa…
KINGUNGE: VIPI ALI YA TUNDU LISSU JAMAANI !
Aliyekuwa mgombea wa urais katika uchaguzi mkuu wa 2015 kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Edward Lowassa (wa pili kushoto), akiwa na Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, wakimjulia hali Kingunge Ngombale Mwiru aliyelazwa katika Hospital ya Taifa ya Muhimbili….
Mfumko wa bei wasababisha maandamano Tunisia
Mtu mmoja amekufa na wengine watano kujeruhiwa katika maandamano ya kiuchumi katika mji mkuu wa Tunisia, tunis. Maandamano hayo yameenea katika maeneo mengine kumi nchini humo. Uchumi wa nchi hiyo umekua ukitetereka tangu mwaka 2011 wakati kiongozi wa kipindi hicho…
SHAKA KUMNADI MGOMBEA UBUNGE WA CCM SINGIDA KASKAZINI LEO
Kaimu Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana Wa Chama Cha Mapinduzi Shaka Hamdu Shaka (Kulia) Akipeana mkono na Mgombea Ubunge wa Jimbo la Singida Kaskazini Ndg:Peter Monko Alipowasili katika Ofisi za CCM Mkoa wa Singida leo. Kaimu Katibu Mkuu wa…