Month: January 2018
MAPIGANO YA WAKULIMA NA WAFUGAJI YASABABISHA VIFO VYA WATU 80 NIGERIA
Takribani watu 80 wameuawa nchini Nigeria katika jimbo la Benue tangu kuanza kwa mwaka huu mpya. Hiyo ni kwa mujibu wa ofisa wa wakala wa dharura. Mapigano kati ya wafugaji wa jamii ya Fulani na wakulima yamekuwa yakiongezeka tangu mwaka…
YANGA KUTUNZA HESHIMA ZA AZAM NA SIMBA KWA URA?
Kocha wa Yanga amesema hawatotumia mchezaji mwingine zaidi ya wale waliokuwa wakiwatumia tangu mwanzoni mwa michuano hiyo YANGA na URA zitashuka dimbani mapema kesho kutafuta timu itakayocheza fainali ya michuano ya Kombe la Mapinduzi ambalo linaendelea hapa visiwani Zanizibar Mchezo…
RAIS WA ZANZIBAR DK SHEIN AZINDUWA SOKO LA KISASA KINYASINI MKOA WA KASKAZINI UNGUJA
Soko la Kinyasini Mkoa wa Kaskazini Unguja lililofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, ikiwa ni Shamrashamra za miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar. WANANCHI wa Mkoa wa Kaskazini Unguja wakimsikiliza Rais…
Haya Hapa Magazeti ya Leo Januari 10, 2018
Kama upo mbali na meza za magazeti mtaani kwako basi husipitwe na kilichoandikwa kwenye magazeti ya leo Jumatano Januari,10, 2018 nimekuekea hapa …
Mzee Jakaya Kikwete Aungana na Wanayanga Kumzika Athumani Chama
Jeneza lenye mwili wa marehemu likifikishwa makaburini. RAIS Mstaafu wa Awamu ya Nne wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, mapema leo ameungana na baadhi ya wapenzi na wanachama wa Klabu ya Yanga kuuzika mwili wa aliyekuwa mchezaji wa klabu hiyo…
Waziri Mbarawa Avamia Bandarini Usiku, Abaini Madudu!
WAZIRI wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa jana usiku amefanya ziara ya kushtukiza katika Bandari ya Dar es Salaam na kubaini mawakala wa meli wanaotoa huduma katika bandari hiyo hawafanyi kazi saa 24 kama Serikali ilivyoelekeza. Prof. Mbarawa ameiagiza Mamlaka…