Month: January 2018
TUNDU LISSU ANENA HAYA BAADA YA LOWASSA KUTINGA IKULU
Baada ya Lowassa kufika Ikulu kumtembelea Rais Magufuli, Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu amezungumzia kitendo kilichotokea kwa Mh. Lowasa kwenda Ikulu bila makubaliano ya chama(CHADEMA) Nanukuu kutoka kwenye page yake ya Instagram “Naomba na mimi niseme kwa uchache kuhusu…
MBOWE: KAULI ALIYOITOA LOWASSA SI TAMKO LA CHADEMA
Baada ya Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa kumtembelea Rais Magufuli Ikulu Jiji Dar es Salaam, na kumwagia sifa kwa jinsi anavyoiendesha nchi hasa kwenye upande wa utengenezaji wa ajira kwa vijana kwa kujenga Mioundombinu ya usafiri kama vile Reli ya…
NAPE :SITAHAMA CCM MPAKA MWISHO WA UHAI WANGU
MBUNGE wa Mtama, Nape Nnauye (CCM), amesema kuwa hana mpango wa kuhamia chama chochote cha upinzani na ataendelea kubaki ndani ya CCM. Alisema hawezi kufanya uamuzi wa kuhamia katika vyama vya upinzani , huku akidai magari ya upinzani kwa sasa yanazidi…
TANZIA: ZUBER MSABAHA ALIYEKUWA MTANGAZAJI WA REDIO FREE AFRIKA AFARIKI DUNIA
Aliyekuwa mtangazaji maarufu wa kipindi cha bolingo time cha redio free ya Mwanza, Zuber Msabaha amefariki dunia na maziko yake ni leo Mabatini Jijini Mwanza. Mungu ailaze roho ya marehemu Msabaha alikuwa na mvuto na uhodari wa kuendesha kipindi cha…
PIGO KWA MARA NYIGINE TENA MADIWANI WA CHADEMA LONGIDO WAJIUNGA NA CCM
Madiwani watatu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Wilaya ya Longido, mkoani Arusha, wamejivua uanachama wa chama hicho na kujiunga na CCM, pia jana hiyo hiyo tulishuhudia Mwanachadema mwingine, Muslim Hassanali alijiunga na CCM, Dar es Salaam. Kujiunga…
Mamia ya Wahamiaji Wahofiwa Kuzama Libya
Mamia ya watu wanahofiwa kupotea baada ya boti iliyobeba wahamiaji kuzama pwani ya Libya. Walinzi wa majini wa Libya wanasema kuwa watu mia tatu wameokolewa kutoka boti nyingine tatu zilizopata dhoruba. Walioopona katika ajali hiyo ya majini wanasema kuwa walitumia…