Month: January 2018
WANANCHI WAHAMASISHWA KUCHANGIA DAMU SALAMA
Nesi kutoka Mpango wa Taifa ya Benki wa damu salama Catherine Kiure akimuhudia moja ya wahamasishaji wa uchangiaji damu Prosper Magali wakati wa uchangiaji damu unaoendelea katika Enep la Ubungo Plaza Jijini Dar es Salaam. Wananchi wakiwa wamejitokeza kuchangia damu…
VIONGOZI MBALIMBALI WALIVYOJITOKEZA KWENYE MAZISHI YA MKE WA KINGUNGE
Jeneza lenye mwili wa Marehemu Mama Peras Ngombale Mwiru, Mke wa Mmoja waasisi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Mzee Kingunge Ngomale Mwiru ukiwasili nyumbani tayari kwa ibada maalum ya maombolezo, iliyofanyika jioni ya leo. Huzuni ilitawala pale mwili wa Marehemu…
DKT.SHEIN AZINDUA SOKO LA KINYASINI
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt. Ali Mohamed Shein akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Soko jipya la Kinyasini lililojengwa na Programu ya Miundo Mbinu ya Masoko, Uongezaji Thamani na Huduma za Kifedha Vijijini (MIVARF) chini ya…
DKT.KIGWANGALA AZINDUA KAMATI KUANDAA MWEZI WA URTIHI WA TAIFA LA TANZANIA
Mjumbe wa kamati hiyo ambaye pia ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo akizungumza leo jijini Dar es Salaam wakati wa mkutano wa uzinduzi rasmi wa Kamati ya kitaifa ya kuandaa Mwezi maalumu wa maadhimisho ya Urithi wa Taifa…
KAMPENI JIMBO LA NYALANDU ZA PAMBA MOTO
Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Kanali Mstaafu Ngemela Lubinga (kushoto) akimnadi mgombea wa Ubunge jimbo la Singida Kaskazini ndg:Justine Monko (kulia) wakati wa mkutano wa Hadhara uliofanyika kata ya Kinyeto Wilaya ya Singida Kaskazini Mkoani Singida. Katibu…
MAMA MJEMA ATINGA BUGURUNI KUJIONEA BOMBA LA GESI LILOPASUKA
MKUU wa Wilaya ya Ilala, Sophia Mjema, amewataka wananchi waliokumbwa na athari ya moto iliyotokea janausiku baada ya kupasuka kwa bomba la kusafirishia gesi, kuwa na subira wakati serikali ikijaribu kutafuta chanzo cha moto huo. Amesema wananchi wanaofanya shughuli za…