JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: January 2018

RIPOTI YA EU YAWAKERA WAKENYA

Serikali ya Kenya imekasirishwa na ripoti iliotolewa na kiongozi wa Muungano wa Ulaya kuhusu uchaguzi mkuu wa urais mwaka uliopita. Marietje Schaake alitoa ripoti mapema siku ya Jumatano katika mji mkuu wa Ubelgiji , Brussels baada ya kusema kuwa serikali…

Moto Waibuka Jengo la Benki Kuu Mwanza

Moto umezuka katika jengo la Benki Kuu jijini Mwanza leo Alhamisi, Januari 11, 2018 asubuhi. Chanzo cha moto huo kinaelezwa kuwa ni shoti ya umeme. Endelea kufuatilia mitandao yetu kwa taarifa zaidi.

Haya Hapa Magazeti ya Leo Januari 11, 2018

Kama upo mbali na meza za magazeti mtaani kwako basi husipitwe na kilichoandikwa kwenye magazeti ya leo Alhamisi Januari,11, 2018 nimekuekea hapa                                    …

BOFYA HAPA KUONA MATOKEO YA KIDATO CHA PILI NA DARASA LA NNE 2017/2018

BARAZA la Mitihani Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya mitihani ya upimaji wa darasa nne na kidato cha pili iliyofanyika Novemba mwaka jana, huku idadi kubwa ya wanafunzi wakifaulu vizuri katika mitihani hiyo.   Akitangaza matokeo hayo leo Jumatatu, Januari 8,…

ARSENAL, CHELSEA HAKUNA MBABE

Arsenal wameilazimisha sare ya 0-0 Chelsea katika uwanja wa Stamford Bridge Alexis Sanchez akianzia benchi na Wilshere akipata majeraha Meneja wa Arsenal, Arsene Wenger amesisitiza kuwa uamuzi wake kumwanzisha Alexis Sanchez benchi kwenye mechi za Kombe la EFL dhidi ya…

Azam Yatinga fainali ya Kombe la Mapinduzi, Kukutana na URA

Bao pekee la kinda Shabani Idd limeipelekea Azam FC ambao ndiyo mabingwa watetetzi wa kombe la Mapinduzi fainali ya michuano hiyo Mabingwa watetezi wa Kombe la Mapinduzi Azam FC, huneda wakafanikiwa kulibakisha kombe hilo nchini baada ya leo kufanikiwa kuingia…