Month: January 2018
BAVICHA WASHANGAA LOWASSA KUMPONGEZA MAGUFULI
BARAZA la Vijana la Chama cha Demokrasia na Maendeleo – Chadema (Bavicha) limesema limeshtushwa na Mjumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho, Edward Lowassa, kumpongeza Rais John Magufuli kwa yale anayoyafanya. Akizungumza leo Alhamisi Januari 11, Katibu wa Bavicha, Julius…
BAVICHA WAMTOLEA POVU SHAKA WA UVCCM
Katibu wa Bavicha, Julius Mwita. BARAZA la Vijana la Chama cha Demokrasia na Maendeleo – Chadema (Bavicha) limesema limeshangazwa na kauli ya Kaimu Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM), Shaka Hamdu Shaka, kuhusu sakata la Mbunge, Tundu Lissu kupigwa risasi. Akizungumza na…
RC Wangabo Atoa Mwezi Mmoja Kuwa na Mkakati wa Kuzuia Uvuvi Haramu Kuokoa Viwanda vya samaki Mwambao wa Ziwa Tanganyika
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo amemuagiza Mkuu wa Wilaya ya Kalambo pamoja na kamati yake ya Ulinzi na Usalama kwa kushirikiana na Mkurugenzi wa halmashauri ya Wilaya ya Kalambo kukaa pamoja na kuandaa mkakati wa kuzui…
Lowassa Akutana na Mbowe Kuzungumza ya Ikulu
Rais John Pombe Magufuli alipokutana na Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa Ikulu. WAZIRI Mkuu wa zamani na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendelo (Chadema), Edward Lowassa amekutana na Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe ili…
WAZIRI MKUU: TUMIENI TAMASHA LA BIASHARA KUKUZA BIASHARA YA UTALII
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameitaka Wizara ya Biashara, Viwanda na Masoko ya Zanzibar kuhakikisha inatumia Tamashara la Biashara la Zanzibar kama chachu ya kukuza biashara ya Utalii kama ilivyo kwa Dubai Shooping Festival na matamasha mengine Duniani. “Natambua kwamba kazi…
Rais Magufuli Amteua Alphayo Kidata Kuwa Balozi
Rais Dkt. John Pombe Magufuli amemteua aliyekuwa Katibu Mkuu Ikulu, Bw. Alphayo Kidata kuwa Balozi, pia amemteua Meja Jenerali Mstaafu Simon Mumwi kuwa Balozi.