Month: January 2018
Ukikata Tamaa, Palilia Matumaini
Usikate tamaa, jua linapozama, nyota na mwezi vinachomoza, kuwa na matumaini. Alexander the Great alipokuwa anafanya kampeni aligawa zawadi mbalimbali kwa rafiki zake. Katika ukarimu wake karibu alitoa kila kitu alichokuwa nacho. Rafiki yake alimwambia: “Bwana hutabaki na kitu chochote.”…
WAZIRI JAFO: WATAALAMU WA MAJI ZAIDI YA ELFU NNE WANAHITAJIKA TAMISEMI
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe Selemani Jafo(Katikati) akiwasili kwenye Chuo cha Maji tayari kwa kutunuku Shahada na Stashahada katika mahafali ya Tisa ya Chuo hicho. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais…
Haya Hapa Magazeti ya Leo Januari 12, 2018
Kama upo mbali na meza za magazeti mtaani kwako basi husipitwe na kilichoandikwa kwenye magazeti ya leo Ijumaa Januari,12, 2018 nimekuekea hapa …
DKT. NDUGULILE AING’ARISHA PROGRAMU YA KIKUNDI MLEZI KWA WANAWAKE WAJASIRIAMALI MKOANI KATAVI
Naibu Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Dkt. Faustine Ndugulile (Mb) akiangalia moja ya bidhaa ya mvinyo inayotengenezwa na Kikundi cha Wanawake wajasiriamali cha Humbaji kilichopo katika Manispaa ya Mpanda alipofanya ziara ya siku mbili…
KWANDIKWA AWATAKA ‘TAA NA TPDC’ KUHAMISHA BOMBA LA GESI UWANJA WA NDEGE MTWARA
Naibu Waziri wa Ujenzi, Elias Kwandikwa, akitoa maelekezo kwa uongozi wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege ( TAA), mkoa wa Mtwara, wakati alipokuwa akikagua uwanja wa huo. Pembeni yake ni Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Evod Mmanda. Kaimu Meneja wa…
KHERI JAMES: RAIS MAGUFULI AMEAMUA KUSAFISHA NYUMBA HAKUNA MENDE ATAKAYEBAKI
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati kuu ya CCM Taifa Ndg Kheri Denice James akizungumza na wakazi wa Kijiji cha Mndarara kilichopo Kata ya Ngaranaibor wakati wa ziara ya kikazi Wilayani…