JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: January 2018

BURIANI GWIJI WA MUZIKI WA JAZZ HUGH MASEKELA

Na Moshy Kiyungi Tabora Mwanamuziki mashuhuri wa kimataifa wa Afrika Kusini, Hugh Masekela, amefariki dunia Januari 24, 2018 jijini Johannesburg, Afrika Kusini akiwa na umri wa miaka 78. Chanzo cha kifo chake ni ugonjwa wa tezi dume alioupata miaka kadhaa…

JIBU LA UPENDO NI UPENDO

Mwanaharakati Martin Luther King Jr amewahi kusema, “Nimeamua kujishughulisha na upendo. Chuki ni mzingo mzito sana ambao haubebeki.’’ Katika jamii yetu tunayoishi, tumeshuhudia au tumekutana na tunaendelea kukutana na watu ambao hawana furaha katika maisha yao. Tunakutana na watu wanaojilaumu…

KUPATA HEDHI INAYODUMU HADI KWA KIPIDI CHA WIKI MOJA KUNAASHIRIA TATIZO LINALOHITAJI UANGALIZI

Ni kawaida kwa mwanamke aliyepevuka kupata hedhi ya kila mwezi katika mzunguko wake, kutokana na mabadiliko ya homoni ambapo mfuko wa uzazi unatengeneza ukuta mpya kwa ajili ya mapokezi ya utungishwaji wa mimba. Kwa kipindi hicho, mwanamke anapitia siku kadhaa…

SERIKALI YABUNI PROGRAMU YA KUDHIBITI MAISHA YA KUBAHATISHA

  NA CLEMENT MAGEMBE Upungufu wa ujuzi wa shughuli za uzalishaji mali, umetajwa kuwa chanzo cha vijana wengi ‘kuwekeza’ zaidi katika michezo ya kubahatisha ili kujipatia kipato. Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na…

SAKATA LA MAGARI YA POLISI MASAUNI; NASUBIRI RIPOTI NIFANYE KAZI

NA MWANDISHI WETU Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, amesema kwamba amemwelekeza Katibu Mkuu, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, kuunda tume mbili za uchunguzi kuhusu uagizwaji na uingizwaji wa magari ya Jeshi la…

TUNAHITAJI AMANI KWENYE KAMPENI

NA MICHAEL SARUNGI Katika chaguzi ndogo za udiwani zilizofanyika mwaka jana, kuliripotiwa uwepo wa vurugu kiasi cha kusababisha baadhi ya vyama vya siasa kususia chaguzi zilizofuata katika majimbo ya Songea Mjini na Singida Kaskazini. Taarifa za uwepo wa vurugu katika…