Month: January 2018
Shikuba, Tiko Kizimbani USA
Anayedaiwa kuwa kinara wa kusambaza dawa za kulevya nchini, Ally Haji (Shikuba) na wenzake wawili, Lwitiko Adam (Tiko Tiko) na Iddy Mfuru wanatarajiwa kupandishwa kizimbani mapema wiki hii, jijini, Texas nchini Marekani. Taarifa za uhakika zilizolifikia JAMHURI zimeeleza kwamba Shikuba…
LWANDAMILA AMTETEA CHIRWA KWA MASHABIKI
Lwandamina amewataka mashabiki wa timu hiyo mambo ya kombe la Mapinduzi na kuangalia michuano inayowakabili mbele yao Kocha mkuu wa Yanga George Lwandamina, amemtetea mshambuliaji wa timu hiyo Obrey Chirwa, kuwa mkwaju wa penalti aliokosa ilikuwa na bahati mbaya na…
SHEREHE YA MIAKA 54 YA MAPINDUZI ZANZIBAR YAFANA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Rais Mstaafu, Mzee Ally Hassan Mwinyi. Makamu wa Rais, Bi Samia Suluhu Hassan (mwenye miwani), Waziri Mkuu, Kassim majaliwa na viongozi wengine wakiwa kwenye hafla hiyo. …
Igp Simon Sirro, Azungumza na Askari wa Vikosi vya Mjini Magharibi
Mkuu wa Jeshi la Polisi Igp Simon Sirro, akizungumza na Askari wa Vikosi vya Mjini Magharibi, Kusini Unguja na Kaskazini Unguja jana alipokwenda kufanya mazungumzo ya kikazi na Maofisa na Askari Visiwani Unguja. Igp Sirro aliwataka Askari Visiwani humo…
Nchi 6 Zinazoongoza Kuwa na Majengo Marefu Duninia
1. Falme za Kiarabu Nafasi ya kwanza inashika na falme za kiarabu ambapo kuna jengo lefu kuliko yote duniani ambalo lipo kwenye jiji Dubai na Linaitwa Burj Khalifa. 2. China Nafasi ya pili inashika na China ambapo kuna jengo lefu…
SERIKALI YATOA TAMKO KUHUSU MELI YENYE BENDERA YA TANZANIA KUKAMATWA UGIRIKI
Serikali imesema inachunguza taarifa za meli yenye bendera ya Tanzania iliyokamatwa nchini ugiriki ikiwa na vifaa vya kutengenezea vilipuzi ambavyo vilikuwa vikisafirishwa kwenda Libya. Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Susan kolimba alisema kuwa wanafuatilia…