JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: January 2018

WALLACE KARIA ATEULIWA NA CAF KUWA KAMISHNA WA MECHI

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania Wallace Karia ameteuliwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Barani Africa CAF kuwa kamishna wa mechi Wallace Karia anatarajiwa kuwa kamishna wa mechi ya kwanza ya ufunguzi wa Fainali za Africa kwa…

Haya Hapa Magazeti ya Leo Januari 13, 2018

Kama upo mbali na meza za magazeti mtaani kwako basi husipitwe na kilichoandikwa kwenye magazeti ya leo Jumamosi Januari,13, 2018 nimekuekea hapa                                    …

Rushwa ni Wizi, Dawa Yake ni Uwazi

“Rushwa ni wizi wa fedha za umma”. Hivyo ndivyo Balozi wa Umoja wa Ulaya nchini Tanzania na kwenye Jumuiya ya Afrika Mashariki, Roeland van de Geer, anavyotaka Watanzania waielewe rushwa. Rushwa, kwa mujibu wa Balozi Geer, ni chanzo kikubwa cha…

WAKILI MSOMI PETER KIBATALA AFIWA NA MAMA YAKE MZAZI

Peter Kibatala ambaye pia ni mwanachama wa Chama Cha Demokrasia na Mkurugenzi wa Sheria na Katiba Maendeleo (CHADEMA) amefiwa na mama yake mzazi Bi. Anna Mayunga ambaye amefariki jana.  

Pombe Hii Imekorogwa na Upinzani Wenyewe

  Kama kuna wakati viongozi na wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wamefaidi usingizi wa pono, itakuwa ni wakati huu. Kila kukicha tunasoma habari za kiongozi mmoja au mwingine akihama kutoka chama cha upinzani na kujiunga CCM. Wengi wao ni…

Barua ya Wana Moshi kwa Rais John Magufuli

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dk. John Pombe Magufuli, barua yetu inahusu BOMOA BOMOA YA RAHCO KATIKA ENEO LA PASUA BLOCK JJJ ILIYOSABABISHWA NA MGONGANO WA MAMLAKA MBILI ZA SERIKALI. Mheshimiwa Rais, kwanza tunapenda tuchukue fursa hii…