JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: January 2018

MATAMSHI YA TRUMP YASABABISHA BALOZI WAKE KUACHIA NGAZI PANAMA

Balozi wa Marekani nchini Panama amejiuzulu kwa sababu anasema kuwa hawezi tena kuhudumu chini ya utawala wa rais Trump. John Feely ,rubani wa ndege wa jeshi la wanamaji alisema kuwa ilikuwa na heshima kubwa kwake kujiuzulu. Idara ya maswala ya…

Umoja wa Afrika Yamtaka Trump Kuomba Radhi kwa Matamshi Yake

Umoja wa Afrika unasema matamshi ya yanayodaiwa kutolewa na rais wa Marekani Donald Trump kuhusu bara la Afrika ni wazi kwamba ni ya ubaguzi wa rangi. Msemaji wa umoja huo , Ebba Kalondo, amesema toni la matamshi hayo lilikera hata…

AIRTEL YASIKITISHWA NA TAARIFA YA WAZIRI MPANGO

Kampuni ya Bharti Airtel inayomiliki Airtel Tanzania imeeleza kusikitishwa kwake na taarifa ya Waziri wa Mpango kuhusu umiliki wa kampuni hiyo kutokuwa halali. Bharti imesema, uwekezaji wake ulifuata na kuzingatia sheria na taratibu zote za nchi. Ikumbukwe siku chache zilizopita…

Diamond Ashinda tuzo ya Soundcity MVP Nigeria

Msanii wa muziki Bongo, Diamond Platnumz ameshinda tuzo kutoka Kituo cha Runinga cha Soundcity. Muimbaji huyo ameshinda katika kipengele cha Best Male MVP ambapo alikuwa akichuana na wasanii wengine kama Davido, RunTown, Olamide, Wizkid, 2Baba (2face) wote kutoka Nigeria na…

CHADEMA KUKUTANA KUJADILI HALI YA KISIASA NCHINI

KAMATII Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) inakutana leo Jumamosi, Januari 13 ikiwa ni siku nne tangu Edward Lowassa alipofanya ziara Ikulu na kufanya mazungumzo na Rais Dkt. John Magufuli jambo ambalo lilizua mjadala ndani na nje ya…

Kingunge Arudishwa Tena Muhimbili Baada ya Mazishi ya Mke Wake

Mwanasiasa mkongwe nchini, Kingunge Ngombale Mwiru, amerejeshwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa ajili ya kuendelea na matibabu. Mzee Kingunge aliruhusiwa kutoka hospitalini hapo Januari 10 ili kwenda kushiriki mazishi ya mkewe, Peras Ngombare Mwiru yaliyofanyika Alhamisi katika makaburi ya…