JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: January 2018

Picha za Mazishi ya Mama Kibatala Morogoro

Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe akiweka shada la Maua kwenye kaburi la Marehemu Anastanzia Mayunga ambaye ni Mama wa Peter Kibatala aliyefariki tarehe 11/1/2018 na kuzikwa kwenye makuburi ya Kakola, Mkoani Morogoro.   Makamu Mkt CHADEMA Bara Prof Abdallah…

AZAM BINGWA, KOMBE LA MAPINDUZI YAIFUNGA URA KWA PENATI 4-3

Azam FC imeibuka mshindi wa Kombe la Mapinduzi baada ya kuifunga URA FC ya Uganda kwa penati 4-3. Azam wameshinda kombe hili kwa mara ya pili mfululizo. Shuja wa mchezo huo ni mlinda mlango wa Azam, Razak Abolora ambaye amedaka…

RAIS MAGUFULI AKATAA MJADALA WA KUONGEZA MUDA WA URAIS

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 13 Januari, 2018 amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM, Itikadi na Uenezi Ndg. Humphrey…

MAZISHI YA MAMA KIBATALA YASABABISHA KUHARISHWA KWA KIKAO CHA CHADEMA

Kamati Kuu ya Chadema iliyokuwa imepangwa kufanyika leo imeahirishwa hadi kesho. Kikao hicho kimeahirishwa ili kutoa fursa ya viongozi na wanachama wa Chadema kushiriki mazishi ya Anna Mayunga ambaye ni mama wa mkurugenzi wa sheria wa chama hicho, , Peter…

AZAM FC: HATUTAKUBALI KUFUNGWA MARA MBILI NA TIMU MOJA

Licha ya kutinga fainali lakini kocha wa Azam Aristica Ciaoba amesema hiyo ni nafasi pekee ya kulipa kisasi cha kufungwa na URA mechi za makundi Kocha Mkuu wa Azam FC, Aristica Cioaba, amesema anauhakika timu yake itatetea ubingwa wake wa…

MAMA ANNA MGHWIRA AKABIDHI MSAADA WA VIFAA VYA MAWASILIANO YA KOMPYUTA KWA JESHI LA POLISI LA KILIMANJARO

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro,Kamishna Mwandamizi Msaidizi wa Polisi ,Hamis Issa akiumuongoza Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Anna Mghwira alipowasili katika uwanja wa mazoezi wa kikosi cha Kutuliza Ghasia kwa ajili ya sughuli ya kukabidhi maada wa vifaa vya…