Month: January 2018
Damas Ndumbaro Mbunge Mpya wa Songea Mjini Ashinda kwa 97%
Dr. Damas Ndumbaro alipokuwa akitambulishwa kwa wananchi na Mwigulu Lameck Nchemba kabla ya kufanyika uchaguzi January 13, 2018. MGOMBEA Ubunge jimbo la Songea Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dr. Damas Ndumbaro ameshinda Uchaguzi kwa kupata kura 45162 sawa na…
ACT Wazalendo: Trump Anapaswa Kuchukuliwa Hatua
Chama cha ACT Wazalendo kimetaka hatua kali kuchukuliwa dhidi ya rais Donald Trump kufuatia hatua yake ya kutoa matamshi ya chuki dhidi ya mataifa ya Afrika na raia wanaotoka bara la Afrika. Kulingana na gazeti la The Citizen ombi hilo…
Kiwanda cha Bora Kimeteketea Kwa Moto Usiku wa Jana
KIWANDA cha kutengeneza viatu cha Bora kinachotengeneza viatu aina ya kandambili kinateketea kwa moto usiku huu chanzo cha moto chake hakijafahamika wala madhara yaliyosababishwa na moto huo. Moto ni mkubwa sana ndani ya kiwanda hicho na kikosi cha zima moto…
Haya Hapa Magazeti ya Leo Januari 14, 2018
Kama upo mbali na meza za magazeti mtaani kwako basi husipitwe na kilichoandikwa kwenye magazeti ya leo Jumapili Januari,14, 2018 nimekuekea hapa …
SHAFIK BATAMBUZE WA SINGIDA UNITED, MCHEZAJI BORA WA MAPINDUZI CUP
Mchezaji Shafik Batambuze wa Singida United amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa michuano ya Mapinduzi Cup. Katika kikosi bora cha michuano hiyo, Singida United imeingiza wachezaji 5 sawa na URA FC ambao wameshika nafasi ya pili baada ya kufungwa na Azam…
MAJALIWA: NISHATI JIRIDHISHENI NA UBORA WA VIFAA
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameitaka Wizara ya Nishati ijiridhishe na ubora wa vifaa vinavyotumiwa na wakandarasi katika miradi ya umeme. Pia iwasimamie wakandarasi hao kwa ukaribu ili kuhakikisha thamani ya miradi inayotekelezwa inalingana na kiasi cha fedha wanacholipwa wakandarasi hao. Ametoa…