JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: January 2018

SERIAKLI YATOA NENO JUU YA KAULI YA TRUMP

Viongozi mbalimbali wa bara la Afrika na Umoja wa Mataifa wamekemea vikali kauli iliyotolewa na Rais wa Marekani, Donald Trump kuhusu mataifa ya Afrika, Haiti na El Salvador alipokuwa katika kikao na wabunge wa nchi hiyo kilichofanyika White House. Katika…

BAVICHA:TUTAZUNGUKA NCHI NZIMA KUDAI UHURU WA KUJIELEZA

BARAZA la Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bavicha) limedhamiria kuzunguka nchi nzima kuwahamasisha vijana kudai uhuru wa kujieleza ambao wamedai haupo kwa sasa nchini. Hayo yalisemwa jana kwenye mkutano wa wanafunzi wanachama wa chama hicho wa Chuo Kikuu…

Haya Hapa Magazeti ya Leo Januari 15, 2018

Kama upo mbali na meza za magazeti mtaani kwako basi husipitwe na kilichoandikwa kwenye magazeti ya leo Jumatatu Januari,15, 2018 nimekuekea hapa                                    …

Alexis Sanchez Akamilisha Uhamisho Kwenda Manchester United

Imeripotiwa kuwa mshambuliaji wa Arsenal Alexis Sanchez amefikia makubaliano na Manchester United kwa ajili ya uhamisho wa Januari. Sanchez atakuwa amemaliza mkataba wake Emirates Stadium ifikapo mwisho wa msimu huu na Arsenal wanaaminika kuwa tayari kumuuza mchezaji huyo wa kimataifa…

Liverpool Yaichafulia Manchester City

Liverpool imewazuia Manchester City katika jitihada zao za kumaliza msimu wa Ligi ya Uingereza bila kupoteza mchezo Jurgen Klopp amesimamisha utawala wa Pep Gurdiola Premier League, baada ya michezo 30 bila kupoteza mechi hata moja hatimaye hii leo Liverpool wamefanikiwa…