Month: January 2018
WAZIRI TIZEBA AKAGUA USAFIRISHAJI WA KOROSHO MTWARA
Waziri wa Kilimo Dr.Charles Tizeba ametembelea Bandari ya Mkoa wa Mtwara na kukagua Usafirishaji wa Zao la Korosho Ghafi zinazokwenda Nchi za India na Vietnam. Kufikia January10 mwaka huu Jumla ya Tani Laki 190 za Korosho tayari zimesafirishwa ambapo lengo…
LISSU AANZA MAZOEZI UBELGIJI
Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu leo ameanza kufanya mazoezi ya viungo huko Hospital anapotibiwa inchini Ubelgiji
Hiki Hapa Lowassa Alichozungumza Ikulu na Maguful
Hichi ndicho Lowassa alichozungumza na Rais Magufuli alipokwenda Ikulu Januari 9 mwaka huu 2018
SONGWE: HATUTAKAA KMYA KUONA MTU SIO RAIA WA TANZANIA KUPATA KITAMBULISHO CHA URAIA
Wananchi wa Kata ya Itaka Kijiji cha Itaka wengi wao wakiwa ni akina Mama, wakijificha Mvua nje ya moja ya Kituo cha Usajili wakati wakishiriki zoezi la Usajili Vitambulisho vya Taifa linaloendelea kwenye Kata hiyo Afisa Usajili Mamlaka…
TBA YATAKIWA KUHAKIKISHA MAENEO YAO YANA HATI
Naibu Waziri wa Ujenzi, Elias Kwandikwa, akitoa maelekezo kwa Kaimu Meneja wa Wakala wa Majengo (TBA), mkoa wa Mtwara Edward Mwangasa, wakati alipokuwa akikagua nyumba zinazomilikiwa na Wakala huo, mkoani humo. Kaimu Meneja wa Wakala wa Majengo (TBA), mkoa…
WAGONJWA 64,093 WATIBIWA KATIKA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE KWA MWAKA 2017
Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa mwaka wa 2017 imeona jumla ya wagonjwa 64,093 kati ya hawa wagonjwa wa nje ni 60,796 na waliolazwa 3297. Wagonjwa waliolazwa 3010 waliruhusiwa baada ya hali zao kuwa nzuri na wagonjwa 287 walipoteza…