Month: January 2018
DOTTO BITEKO: SEKTA YA MADINI LAZIMA IWE NA MCHANGO MKUBWA KWENYE PATO LA TAIFA
Naibu Waziri wa Wizara ya Madini Mhe Dotto Mashaka Biteko akizungumza na wakuu wa idara na vitengo pamoja na wafanyakazi wote wa wizara ya madini mara baada ya kuwasili ofisini Mjini Dodoma, Leo Januari 15, 2018. Picha Zote Na Mathias…
MPINA ATEKETEZA ZANA HARAMU ZA UVUVI ZENYE THAMANI YA SHILINGI BILIONI 2 WILAYANI UKEREWE
Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Luhaga Mpina (mwenye miwani) baada ya kuwasili kwenye kambi ya Uvuvi ya Kisiwa cha Galinzila leo na kuongea na wavuvi. Kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Ukerewe Estomiah Chang’a (mwenye kofia) na kulia zaidi…
MAJALIWA: TUTAKAMILISHA UJENZI WA HOSPITALI YA RUFAA YA MUSOMA
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amsema Serikali itahakikisha inakamilisha ujenzi wa hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Mara iliyoanza kujengwa mwaka 1980. Atoa kauli hiyo leo (Jumatatu, Januari 15, 2018) wakati alipokagua ujenzi wa hospitali hiyo baada ya kuwasili mkoani Mara…
Rais Magufuli Aomboleza Vifo vya watu 11 Kagera
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amemtumia salamu za rambirambi Mkuu wa Mkoa wa Kagera Meja Jenerali Mstaafu Salum Kijuu kufuatia watu 11 kupoteza maisha katika ajali ya gari iliyotokea katika Kijiji cha Nyangozi,…
TPA Yanasa Mtandao Wizi wa Mafuta
Serikali wilayani Kigamboni na Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) wanasema wamepata taarifa za kuwapo watu wengine wanaoiba mafuta kutoka kwenye bomba kuu katika Bandari ya Dar es Salaam. Hatua hii imekuja baada ya kukamatwa kwa watu watano ambao…
SERIKALI YAANZA KUTUMIA MFUMO WA NYOTA KATIKA KUVIPIMA VITUO VYA AFYA NA HOSPITALI NCHINI
Naibu Waziri wa Afya, maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile (mwenye tisheti ya mistari) akipokea maelekezo ya ramani ya jingo jipya la Mama na Mtoto katika kituo cha Afya Nkomolo, anaemfuatia ni Mganga Mkuu wa Mkoa…