Month: January 2018
TFRA: WASAMBAZAJI WALICHANGIA KUCHELEWESHA MBOLEA
Wakati Rais John Magufuli `akimkaanga’ Waziri wa Kilimo, Dk Charles Tizeba, Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA) imeokoa jahazi kwa kuchangia usafirishaji wa mbolea kutoka jijini Dar es Salaam kwenda mkoani Rukwa. Januari 8, mwaka huu, Rais Magufuli aliagiza…
LOWASSA ALIWASHTUA WENGI KWENDA KWAKE IKULU
Mwanasiasa aliyetikisa taifa katika Uchaguzi Mkuu Mwaka 2015, Edward Ngoyai Lowassa, mwaka huu wa 2018 ameuanza kwa kishindo, baada ya ghafla kumtembelea Rais John Magufuli, Ikulu jijini Dar es Salaam hali iliyozaa fukutoa kwa upinzani na kicheko ndani ya CCM….
MAMA SHEIN AFUNGUA KONGAMANO LA AFYA NA MAISHA BORA
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha Suleiman, wakimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Inaya Zanzibar Limited Cheherazade Cheikh akitoa maelezo ya bidhaa za kampuni yake katika…
ASKOFU KAKOBE AMWAGA MBOGA SAKATA LAKE NA TRA
Askofu Mkuu wa Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship (FGBF), Zachary Kakobe amewaelezea waumini wake jinsi alivyohojiwa na timu mbili zilizoundwa kwa nyakati tofauti na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA). Askofu Kakobe, ambaye ameingia kwenye mgogoro na mamlaka za nchi…
HAYA HAPA YATAKAYOMPELEKA TUNDU LISSU THE HUAGE UHOLANZI
Mkurugenzi Mkuu wa CZ Information & Media Consultant LTD, Cyprian Majura Nyamagambile amsemema kwamba anatarajia kumfikisha mahakamani Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu kufuatia kauli zake za uongo alizozitoa na kuchafua taswira ya Tanzania. Cyprian ameyasema hayo leo Januari 15…
MAGUFULI ARIDHIA RADHI YA GAZETI LA NIPASHE
Uamuzi wa Serikali kuhusu gazeti la Nipashe Jumapili lililozusha uongo katika taarifa ya Rais Magufuli na Rais wa Rwanda, Paul Kagame.