Month: January 2018
MWENYEKITI MPYA WA UVCCM AWASILI RASMI OFISINI
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Kheri D James akisalimiana na Mtumishi wa Makao Makuu ya Umoja wa Vijana wa CCM Bi.Sheila Alipowasili katika Ofisi ndogo ya Makao Makuu ya Umoja wa Vijana Wa CCM Upanga Leo….
MHASIBU WA SIMBA KIKAANGONI
Shirikisho la soka Tanzania TFF imewapeleka kwenye kamati ya maadili viongozi wanne kwa kughushi na udanganyifu. Viongozi walioshitakiwa kwenye kamati ya maadili ni msimamizi wa kituo cha Mtwara Dunstun Mkundi, katibu wa chama cha soka mkoa wa Mtwara Kizito mbano,…
WAZIRI TIZEBA ATEMBELEA NALIENDELE
Jumla ya miche ya Mikorosho Million10 imezalishwa na Taasisi ya utafiti wa Kilimo NALIENDELE Iliyopo mkoani Mtwara kwa kushirikiana na Bodi ya Korosho Tanzania CBT kwa ajili ya kusambaza katika mikoa yote inayozalisha Zao la korosho
Haya Hapa Magazeti ya Leo Januari 16, 2018
Kama upo mbali na meza za magazeti mtaani kwako basi husipitwe na kilichoandikwa kwenye magazeti ya leo Jumanne Januari,16, 2018 nimekuekea hapa
Wafukuzwa Kwenye Ardhi Yao Kupisha Wachina
Wananchi katika Kijiji cha Nyasirori, Butiama mkoani Mara, wanalalamika kuondolewa katika ardhi yao kupisha kampuni ya uchimbaji dhahabu bila kulipwa fidia. Wameuomba uongozi wa juu wa Serikali kufika Nyasirori kuona namna walivyoonewa na kampuni hiyo ya ZEM Co. Ltd ambayo…
Watu 20 Wameuawa Katika Mapigano Libya
Watu 20 wameuawa kufuatia mapigano yaliyotokea kati ya makundi ya wanamgambo hasimu katika mji mkuu wa Libya, Tripoli. Mapigano hayo yamesababisha kusitishwa kwa safari za ndege, katika uwanja wa kijeshi wa Maitiga, ambao ndio wa pekee wa kimataifa mjini Tripoli….