Month: January 2018
MAJALIWA: ATAKAYEBAINIKA KUTAFUNA SH. MILIONI 320 ZA IMARA SACCOS ACHUKULIWE HATUA ZA KISHERIA
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemuagiza Ofisa Ushirika wa Manispaa ya Musoma Bibi Yunia Wiga kufuatilia upotevu wa sh. milioni 320 za Imara SACCOS na atakayebainika kuhusika ashughulikiwe. Alitoa kauli hiyo jana jioni (Jumatatu, Januari 15, 2018) alipopokea malalamiko ya wanachama…
UBAGUZI WA TRUMP NI FURSA KWA WAAFRIKA KUTAFAKARI
Rais Donald Trump wa Marekani ametukumbusha tena kuwa yeye ni mbaguzi wa rangi, tena wa kiwango cha kustahili nishani. Katika majadiliano hivi karibuni juu ya uhamiaji akiwa na viongozi wa Baraza la Seneti, na wa Baraza la Wawakilishi, Trump alikashifu…
NAFASI ZA KAZI KUTOKA SHIRIKA LA UTANGAZAJI LA TAIFA (TBC)
JOURNALIST II. – 6 POST Employer: Tanzania Broadcasting Corporation (TBC) Date Published: 2018-01-05 Application Deadline: 2018-01-19 JOB SUMMARY: N/A DUTIES AND RESPONSIBILITIES: i. Gathers and writes news and stories; ii. Writes scripts and continuities and prepares programmes for radio and…
BAADA YA KUNUNUA NYUMBA AFRIKA KUSINI DIAMONDA SASA KUNUNUA NYUMBA RWANDA
Diamond amewauliza mashabiki wake wa Rwanda ni sehemu ipi ambayo ni nzuri kwa ajili ya makazi. Kupitia ukursa wake wa Instagram muimbaji huyo wa WCB wameandika; am looking for a property to buy in Kigali My future new home for…
MZEE AKILIMALI:NITAPINGA YANGA KUMILIKIWA NA MTU MMOJA HADI KABURINI
Mwanachama mkongwe wa klabu ya Yanga, Ibrahim Akilimali, amesema kuwa ataendelea kupinga suala la ukodishwaji wa klabu hiyo hadi atakapoingia kaburini. Mzee Akilimali amedai kuwa amekuwa na bahati mbaya kwa baadhi ya wanachama na viongozi wa Klabu ya Yanga kutokana…
MAJALIWA:SERIKALI HATUTASUBIRI KUWAUNDIA TUME WEZI, MAFISADI
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka watumishi wa umma nchini wasijihusishe na vitendo vya wizi, ufisadi kwani Serikali haitosubiri kuwaundia tume za kuwachunguza bali itawashughulikia hapo hapo. Amesema Serikali haikotayari kuwavumilia watumishi wanaojihusisha na wizi, ubadhilifu, rushwa na uzembe, hivyo ni…