Month: January 2018
DAKTARI WA WHITE HOUSE ATHIBITISHA KUWA RAIS TRUMP HANA TATIZO LA AKILI
Rais Trump hajaonyesha dalili zozote za matatizo ya kiakili kufuatia uchunguzi wa kiafya na yuko la afya nzuri, daktari wa White House amesema. “Sina wasi wasi wowote kuhusu afya ya akili ya Trump,” Ronny Jackson alisema Jumanne. Wiki iliyopita Trump…
KIONGOZI WA UPINZANI NCHINI ETHIOPIA AACHIWA HURU
Serikali ya Ethiopia inasema imemuachilia mwanasiasa maarufu wa upinzani baada ya zaidi ya mwaka mmoja kizuizini. Kuachiliwa kwa Merera Gudina mkuu wa chama cha Oromo Federalist Congress, kunafanywa kama sehemu ya jitihada ya kutafuta uwiano wa kitaifa. Siku ya Jumatatu…
WAZIRI MKUU AMKABIDHI MHANDISI WA MAJI KWA NAIBU WAZIRI TAMISEMI
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemkabidhi Mhandisi wa Maji wa Halmashauri ya wilaya ya Rorya, Mhandisi Obetto Sasi kwa Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Bw. Josephat Kandege baada ya kutoridhishwa na utendaji wake. Ametoa uamuzi huo jana jioni (Jumanne,…
RONALDINHO GAUCHO ATUNDIKA DALUGA RASMI
NGULI wa soka nchini Brazil ambaye ni mshindi wa tuzo ya mwanasoka bora wa dunia Balon d’Or mwaka 2005, Ronaldo de Assis Moreira maarufu kwa jina la Ronaldinho ametagaza rasmi kustaafu kusakata kabumbu. Kwa mujibu wa BBC, aliyethibitisha kustaafu kwa…
WAHUJUMU WA MIRADI YA MAJI MARA KUCHUKULIWA HATUA-MAJALIWA
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali itawachukulia hatua watendaji wote watakaobainika kuhujumu ujenzi wa miradi ya maji mkoani Mara. Hatua hiyo imetokana na kutoridhishwa na utekelezwaji wa ujenzi miradi ya maji katika baadhi ya halmashauri za mkoa huo,hivyo kuwacheleweshea wananchi…
Halmashauri ya Butiama Inavyotafunwa
NA MWANDISHI WETU, MUSOMA Upotevu mkubwa wa fedha umebainika kuwapo katika Halmashauri ya Wilaya ya Butiama, baada ya Kamati iliyoundwa kufuatilia mapato kubaini wizi na udanganyifu wa kiwango cha juu. Kamati hiyo ya watu 13 iliundwa mwaka jana na kuongozwa…