Month: January 2018
ELIMU YA URAIA INAPOKUWA MZIGO KWA WANANCHI
Na Prudence Karugendo Ni jambo la kushangaza kwamba Tanganyika changa, kabla haijaungana na Zanzibar kuwa Tanzania, wananchi walikuwa waelewa wa elimu ya uraia. Na kama alivyokuwa akisema mara kwa mara Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, ni kwamba jambo hilo…
MTOTO CHINI YA MIAKA 18 ANAVYOWEZA KUSHITAKIWA MAHAKAMANI
NA BASHIR YAKUB Watoto ambao hawajafikisha umri wa miaka 18 nao hushitakiwa mahakamani. Wanaweza kushitakiwa kwa jinai au madai. Isipokuwa tofauti na wakubwa ni kuwa hawa wanazo Mahakama zao. Sheria Namba 21 ya Mtoto ya mwaka 2009 kifungu cha 97(1)…
ZUZU SEHEMU 329
Yah: Ninayo mengi ya kusimulia kwa nchi yangu ambayo naijua ndani nje, kinagaubaga Nianze kwa kumshukuru tena Maulana jinsi ambavyo ananibariki kwa kuwa na maisha marefu na kuweza kuona maajabu mengi katika dunia hii, lakini kubwa zaidi ni dunia yangu…
RAIS MAGUFULI APIGA MARUFUKU WANAFUNZI KURUDISHWA NYUMBANI KWA KUKOSA MICHANGO ILIYO NJE YA KARO ZA SHULE
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo Januari 17, 2018 amepiga marufuku aina yoyote ya michango katika shule za Serikali za msingi na Sekondari na kuwaagiza Mawaziri Jafo na Ndalichako kusimamia hilo. Rais Magufuli ametoa…
WASANII ZAIDI YA 400 KUTUMBUIZA KATIKA TAMASHA LA SAUTI ZA BUSARA 2018
Kila mwaka katika mwezi Februari, maelfu ya mashabiki wa muziki kutoka katika kila pembe ya dunia wanakusanyika katika eneo la Ngome Kongwe, Mji Mkongwe kuonja ladha ya kipekee ya muziki wa Kiafrika katika Tamasha la Sauti za Busara. Tamasha hili…
KIKOSI CHA YANGA KITAKACHOIVAA MWADUI LEO HIKI HAPA
Mabingwa wa tetezi wa ligi kuu soka Tanzania Bara klabu ya Yanga hii leo inatarajia kushuka dimbani tayari kuivaa timu ya Mwadui FC katika mechi ya Vpl itakayo chezwa Uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam. Kuelekea katika mchezo huo…