Month: January 2018
HUU HAPA MSIMAMO WA CHADEMA KUHUSU UCHAGUZI JIMBO LA KINONDONI
CHAMA Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeeleza kuwa, bado msimamo wake na vyama vingine vinne vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), kuhusu kutokushiriki uchaguzi wa marudio katika jimbo la Kinondoni na sehemu nyingine na kwamba msimamo wao uko pale…
KATIBU UVCCM IRINGA MJINI ANUSURIKA KUFA BAADA KITU CHENYE MLIPUKA KURUSHWA KITANDANI KWAKE
Baadhi ya vitu vilivyoteketea kufuatia mlipuko huo. Hivi ndivyo huo mlipuko ulivyoteketeza vitu hivyo KATIBU wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi(UVCCM), Alophance Myunga amenusurika kifo baada ya kitu chenye mlipuko kurushwa dirishani kwake na kufikia kitandani…
MAJALIWA: SIJARIDHISHWA NA UJENZI WA KITUO CHA SIRARI
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema hajaridhishwa na ubora wa ujenzi wa kituo cha forodha cha Sirari kilichopo kwenye mpaka wa Tanzania na Kenya. Kufuatia hali hiyo amemtaka Kamishna wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) afike ofisi ya Waziri Mkuu mjini…
KWAHERI MWAKA 2017 KARIBU MWAKA 2018 – 2
Na Angalieni Mpendu Amani ni neno fupi na jepesi kutamkwa na mtu yeyote – awe mstaarabu au mshenzi. Maana ya neno hili ni ndefu kiwango cha upeo wa macho ya mtu kuona na kutafakari. Na nzito mithili ya nanga au…
WAZIRI MKUU ATATUA MGOGORO WA MIAKA MITATU
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemaliza mgogoro wa ujenzi wa makao makuu ya Halmashauri ya Wilaya ya Tarime mkoani Mara ambao umedumu kwa miaka mitatu. Ametoa uamuzi huo leo (Jumatano, Januari 17, 2018) wakati akizungumza na watumishi na madiwani wa Halmashauri…
MAFANIKIO YOYOTE YANA SABABU
Padre Dk. Faustin Kamugisha Mafanikio yoyote yanahitaji watu. Yanahitaji rasilimali watu. Ndege kiota, buibui, utando, binadamu, mahusiano. Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, alipotaja mambo muhimu ili tuendelee, alianza kutaja watu. Ili kutimiza ndoto ya mafanikio unahitaji watu. Unahitaji watu…