Month: January 2018
WAZIRI MKUU MAJALIWA AWATAKA WANAUME WA TARIME WAACHE UKATILI KWA WANAWAKE NA WATOTO
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewaasa wanaume wa wilaya ya Tarime kujiepusha na vitendo vya ukatili dhidi ya wanawake na watoto pamoja na kuachana na kilimo cha bangi. Alitoa kauli hiyo jana jioni (Jumatano, Januari 17, 2018) wakati akihutubia wananchi katika…
WAZIRI WA KILIMO DKT.TIZEBA ATEMBELEA KIWANDA CHA MICRONIX-NEWALA
Waziri wa Kilimo Dkt Charles Tizeba ametembea kiwanda cha kubangua Korosho cha Micronix System Limited kilichopo Wilaya ya Newala Mkoani Mtwara na kuzungumza na Viongozi wa kiwanda hicho juu ya kupandisha malipo kwa Vibarua wanaofanya kazi Kiwandani hapo. Kwa Sasa…
KAMANDA MAMBOSASA ATOA UFAFANUZI KUHUSU WAVAA VIMINI NA WANYOA VIDUKU
Kamanda wa Kanda Maalum ya Dar es salaam, Lazaro Mambosasa amesema hakuna sheria kuwakamata watu wanaovaa nguo fupi au kwa wanyoa viduku sisi kazi yetu ni kusimamia sheria na mimi siwezi kufanya kazi nje utaratibu wa sheria za nchi. Lakini…
BAADA YA YANGA KUKAZIWA NA MWADUI LEO NI ZAMU YA SIMBA DHIDI SINGIDA UNITED UWANJA UHURU
Wachezaji wa simba wakiwa mazoezini Kikosi cha Singida United Iktakachozeza na Simba Sc Leo Kikosi cha Simba Timu ya Yanga jana ilitoka sare ya kutokufunga na timu ya Mwadui, na leo ni zamu ya Simba kukabiliana na timu Singida…
Haya Hapa Magazeti ya Leo Januari 18, 2018
Kama upo mbali na meza za magazeti mtaani kwako basi husipitwe na kilichoandikwa kwenye magazeti ya leo Alhamisi Januari,18, 2018 nimekuekea hapa
WAZIRI NDALICHAKO: WALIOFUKUZWA KWA KUSHINDWA KULIPA MICHANGO WARUDISHWE SHULE
Waziri wa Elimu, Prof. Joyce Ndalichako amewaagiza Wakurugenzi wa Elimu kuhakikisha kuwa, wanafunzi wote waliofukuzwa shule kutokana na kushindwa kutoa michango mbalimbali warudishwe mara moja na wazazi waliotoa michango yao warudishiwe. Ameyasama hayo leo baada kupokea agizo kutoka kwa Rais…