Month: January 2018
JE, ALIYETEULIWA NA MAREHEMU KWENYE WOSIA KUSIMAMIA MIRATHI ANAHITAJI KUTHIBITISHWA NA MAHAKAMA?
Na Bashir Yakub Wako wasimamizi wa mirathi wa aina mbili. Kwanza ni yule ambaye marehemu mwenyewe amemteua kabla ya kufa kwake na akaandika/kusema kwenye wosia kuwa fulani ndiye atakayesimamia mirathi yangu baada ya kuondoka. Pili, ni yule ambaye hakuteuliwa na marehemu mwenyewe bali ameteuliwa na wanafamilia kwenye kikao cha familia. Kwa walio wengi huyu ndiye tunamjua kuwa ni lazima jina lake lipelekwe mahakamani kwa ajili ya kuthibitishwa ili aweze kuwa msimamizi kamili. Makala itapitia Sheria ya Usimamizi wa Mirathi, Sura…
SMS 331: STENDI YA TABATA CHAFU
Watu wanaweza kusema hakuna stendi Tabata Kimanga kwani kinachoonekana pale ni dampo la uchafu. Diwani na Serikali ya Mtaa tusaidiane. Fakhii Mohamedy, 0673774241 Serikali isiue demokrasia Ombi langu kwa Serikali yetu ya Awamu ya Tano ione uwepo wa vyama vya…
TANROADS: TUMIENI MICHEPUKO KUEPUKA FOLENI TAZARA
DAR ES SALAAM NA CLEMENT MAGEMBE Wakala wa Barabara nchini (TANROADS) umehimiza matumizi sahihi ya alama zinazoonesha barabara za mchepuko kwa magari yanayopita makutano ya barabara za Nyerere na Mandela, ili kuepuka foleni zinazoweza kuzuilika. Makutano hayo ndipo panapojengwa barabara…
UKO WAPI USALAMA VIWANJANI?
NA MICHAEL SARUNGI Mamlaka husika zinapaswa kuhakikisha ubora wa viwanja kabla ya timu kuruhusiwa kutumia viwanja hivyo ili kudhibiti fujo na kuepusha matatizo yanayoweza kutokea kati ya washabiki na wachezaji. Wakizungumza na JAMHURI, baadhi ya wapenzi wa michezo nchini wamesema…
YAH: SIMULIZI YA TANZANIA NIIJUAYO
Sijasimulia kiasi cha kutosha juu ya nchi yangu niipendayo, nchi ambayo nimeiishi kwa maisha na matendo, nchi ambayo ninaijua ‘ndani nje’, iwe kiuchumi, siasa, utamaduni, teknolojia, uzalendo na zaidi ya yote kiuongozi. Ni nchi ambayo labda inaweza ikawa ni historia…
MJANE ATIMULIWA KWENYE NYUMBA KWA MABAVU
DAR ES SALAAM NA MICHAEL SARUNGI Mary Njogela (70), mjane anayehifadhiwa kwenye jumba bovu lililoko Mikocheni ‘B’ jijini Dar es Salaam baada ya kuondolewa kwa nguvu na watoto wa kufikia wa marehemu mume wake, anaomba msaada wa Serikali ili arejeshewe…