JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: January 2018

WAZIRI MKUU AKABIDHI KADI ZA MATIBABU KWA WAZEE 280

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amegawa kadi za matibabu kwa wazee 280 wa wilaya ya Serengeti mkoani Mara, kadi hizo zitawawezesha wazee hao kutibiwa bure. Amesema Serikali imedhamiria kuboresha huduma za afya kwa wananchi ikiwa ni pamoja na kutoa matibabu bure…

PROFESA MBARAWA AWATAKA TPA KUKAMILISHA NA KUHAMIA JENGO JIPYA

WAZIRI wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa ameitaka Mamlaka ya Bandari nchini (TPA), kuhakikisha kazi ya kukamilisha ujenzi wa jengo jipya ‘One Stop Centre’ inakamilika haraka na kuanza kutoa huduma kwa mamlaka hiyo na wadau wake wote. Akizungumza…

Haya Hapa Magazeti ya Leo Januari 19, 2018

Kama upo mbali na meza za magazeti mtaani kwako basi husipitwe na kilichoandikwa kwenye magazeti ya leo Ijumaa Januari,19, 2018 nimekuekea hapa

MTWAREFA YAIJIBU TFF KUHUSU TUHUMA ZA VIONGOZI WAKE KUGHUSHI NYARAKA ZA MAPATO.

Siku chahche baada ya Sekretarieti ya Shirikisho la Soka Nchini TFF kutoa taarifa ya kuwafikisha katika kamati ya maadili Viongozi wanne wa Soka Wakiwamo Msimamizi wa Kituo cha Mtwara Dastan Mkundi Katibu Mkuu wa Mkoa wa Mtwarefa Kizito Mbano,katibu Msaidizi…

CUF, CCM KUCHUANA JIMBO LA KINONDONI

Aliyekuwa meneja kampeni wa Maulid Mtulia kwenye uchaguzi wa 2015 Kinondoni, Rajabu Salim Jumaa leo Alhamisi amechukua fomu kugombea ubunge jimbo hilo. Mwaka 2015 mgombea wa CUF Mtulia alishinda ubunge wa jimbo hilo lakini alijivua uanachama wa CUF na kuhamia…

HUYU HAPA KOCHA MPYA WA SIMBA SC

Baada ya kuhangaika huko na kule ikisaka Kocha wa kujaza nafasi ya Joseph Omong kuifundisha simba kwa msimu wa 2017/2018 , hatimaye wekundu wa msimbazi wamelamba dume na kufanikisha kutia sahihi kwa kocha wao mpya,  Pierre Lechantre (miaka 68), raia…