Month: January 2018
Habari Mpya Haya Hapa Magazeti ya Leo Januari 23, 2018
Kama upo mbali na meza za magazeti mtaani kwako basi husipitwe na kilichoandikwa kwenye magazeti ya leo Jumanne Januari,23, 2018 nimekuekea hapa.
Haya Hapa Magazeti ya Leo Januari 22, 2018
Kama upo mbali na meza za magazeti mtaani kwako basi husipitwe na kilichoandikwa kwenye magazeti ya leo JumatatuJanuari,22, 2018 nimekuekea hapa
FAWOPA Yapiga Msasa Wadau wa Elimu-Mtwara
Shirika lisilokuwa la kiserikali la faidika wote pamoja FAWOPA limetoa Elim kwa Wadau Mbalimbali wa sekta hiyo Juu ya uandaaji wa Bajeti na kuweza kuwasilisha kwa kamati za Shule ili kuweza kuzifanyia kazi Kwa lengo La kuondokana na migongano inayojitokeza…
Haya Hapa Magazeti ya Leo Januari 21, 2018
Kama upo mbali na meza za magazeti mtaani kwako basi husipitwe na kilichoandikwa kwenye magazeti ya leo Jumapili Januari,21, 2018 nimekuekea hapa …
KINANA AKUTANA NA BALOZI WA CHINA
Katibu Mkuu wa CCM Komredi Abdulrahman Kinana akizungumza na Balozi wa China hapa nchini Tanzania Wang Ke ofisini kwake, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo Gari la Balozi wa China hapa nchini Tanzania…
MTWAREFA YAOMBA RADHI WADAU WA SOKA-MTWARA.
Kutokana na Kamati ya Maadili Kuwakuta na Hatia Viongozi wawili Wa Shirikisho la Soka TFF akiwemo Msimamizi wa Mchezo Mkoa wa Mtwara Dastan Mkundi pamoja na katibu Mku wa Chama Hicho Mkoa wa Mtwara Kizito Mbano Mwenyekiti wa soko Mkoa…