JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: January 2018

Benki ya NMB Kuendelea Kuidhamini Azam FC

BENKI ya NMB na timu ya Mpira wa miguu ya Azam FC wamekubaliana kuongeza mkataba wa udhamini kwa mwaka mmoja zaidi. Mkataba mpya wa Udhamini ulianza mwezi septemba – 2017 na ni mkataba wenye thamani na manufaa zaidi katika historia…

BALOZI ZA ISRAEL NA UJERUMANI ZA AHIDI KUENDELEA KUSHIRIKIANA NA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI)

  23/1/2018 Balozi za Israel na Ujerumani hapa nchini zimeahidi kuendelea kushirikiana na Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) ili kuhakikisha watanzania hasa watoto wanapata huduma bora za matibabu ya moyo. Hayo yamesemwa leo na Manaibu Balozi wa nchi hizo…

WATANZANIA WAHIMIZWA KUCHANGAMKIA FURSA COMORO

Balozi wa Tanzania katika Muungano wa Visiwa vya Comoro, Mhe, Sylvester Mabumba (wa pili kutoka kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Uwekezaji wa Comoro, Bw. Said Mohamed Omar (wa pili kutoka kushoto), Mkurugenzi wa…

MWALIMU NANI? ADHA ZA TAKSI DAR ES SALAAM

Mapema mwezi huu nikiwa Dar es Salaam nilituma ujumbe kuomba huduma ya usafiri wa Uber, huduma nafuu ya usafiri wa taksi ambayo imeleta nafuu ya gharama za usafiri jijini humo. Katika kutumia Uber nimegundua tatizo moja la msingi. Madereva hawana…

POWER ON FITNESS GYM KUUKARIBISHA MWAKA MPYA KWA STYLE YA KIPEKEE

Power on Fitness Gym iliyopo Mwenge, kinondoni, Jijini Dar es salaam imeandaa siku maalumu kwa ajili ya kujumuika pamoja, kufanya mazoezi na kuukaribisha mwaka mpya wa 2018. Shughuli hiyo itafanyika siku ya jumamosi January 27,2018 katika viwanja vya posta vilivyopo…

GMOS: KIGINGI KWA UFANISI WA KILIMO MANYARA

NA RESTITUTA FISSOO, MANYARA Ni ukweli usiopingika kuwa ili kufikia azma ya Serikali ya kufanya kilimo kuwa biashara, kukuza kipato, matumizi ya sayansi na teknolojia vinahitajika ili kuongeza uzalishaji na tija kwa mkulima. Hata hivyo, teknolojia mpya ya kubadilisha vinasaba…