JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: January 2018

Vanessa Mdee shinda Tuzo Ya ‘Nyota Wa Mchezo’

Mtangazaji wa Times FM, Lil Ommy akimkabidhi Tuzo ya ‘Nyota Wa Mchezo’, Mwanamuziki, Vanessa Mdee maarufu Vee Money. Vanessa Mdee amekuwa msanii wa kwanza Tanzania kupokea Plaque ya ‘Nyota Wa Mchezo’ baada ya kutajwa kama ‘Nyota wa Mchezo’ kwenye vipengele vya BestFemaleAct, BestPerformer, BestLiveAct…

RAIS WA ZANZIBAR DK SHEIN AZUNGUMZA NA MFALME WA DUBAI, WAFANYABIASHARA, ATEMBELEA BANDARI WA JEBEL ALI PORT NA KUTEMBELEA MRADI WA AKHEEL

 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na mwenyeji wake Mfalme Sheikh Mohammed Bin Rashid Al Makthoum, Vice Presdent Prime Minister and Ruler of Dubai, wakielekea katika chumba cha mkutano wakati alipowasili katika…

MAENDELEO NI KAZI SEHEMU YA SABA

Maendeleo yana sheria zake. Ingawa tunasema kwamba, maendeleo yao yanakwenda mijini, mendeleo yote yanakwenda mijini. Ni kweli tunasema hivyo, lakini mnafikiria mijini wana uchawi? Kuna masharti ya maendeleo. Nimepata kutumia mfano- nadhani hapa hapa kwamba, mvua inaponyesha, kuna kitu uvutano…

Habari Mpya Haya Hapa Magazeti ya Leo Januari 24, 2018

Kama upo mbali na meza za magazeti mtaani kwako basi husipitwe na kilichoandikwa kwenye magazeti ya leo Jumatano Januari,24, 2018 nimekuekea hapa.

LIGI YA WANAWAKE KUANZA FEBRUARI 24

Ligi ya Wanawake ya Serengeti Premier Lite hatua ya nane bora inatarajia kuanza kutimua vumbi Februari 24, 2018 kwenye viwanja vine. Mchezo kati ya Kigoma FC na Simba Queens utakaochezwa kwenye uwanja wa Lake Tanganyika ndio utakuwa mchezo rasmi wa…

CAF Kuzikagua Simba, Yanga Miundombinu Yao

Shirikisho la Mpira wa Miguu Barani Africa CAF litafanya ukaguzi wa mfumo wa leseni kwa vilabu vya ligi kuu hapa nchini(Club Licencing) kwenye upande wa miundo mbinu. CAF watafanya ukaguzi huo wa kutembelea na kutazama miundo mbinu ili kuhakikisha mfumo…