JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: January 2018

Nyosso Bado Yupo Mikononi Mwa Polisi Kagera

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kagera, Agustine Ollomi, amesema hali ya majeruhi anaye fahamika kwa jina la Shabani Hussein, aliyedaiwa kupigwa hadi kuzirai na beki wa Klabu ya Kagera Sugar, Juma Nyoso, bado ni mbaya na yupo mikononi mwa madaktari…

MAFANIKIO YOYOTE YANA SABABU (6)

Padre Dk Faustin Kamugisha Kushindwa ni sababu ya mafanikio ilmradi kusiwe desturi. Bill Gates, tajiri mkubwa duniani, amesema, “Ni vizuri kusherehekea mafanikio, lakini ni muhimu kujifunza masomo unayopewa na kushindwa.” Kushindwa huwafanya baadhi ya watu kuvunjika moyo na wengine kuvunja…

RAIS TRUMP AZIDI KUANDAMWA

WASHNGTON, MAREKANI Seneta wa Chama cha Republican nchini Marekani, Jeff Flake, amemkosoa vikali Rais Donald Trump kwa matamshi yake ya mara kwa mara yanayoonekana kuvishambulia vyombo vya habari . Akizungumza katika Baraza la Seneti nchini humo, amesema kiongozi aliyeko madarakani anapokuwa na mazoea…

BADO HUJACHELEWA KUSEMA HAPANA KWA SIGARA

Kama ni mvutaji wa sigara, basi pia unapaswa kufahamu ni kwa kiasi gani uvutaji wa sigara ulivyo na madhara kwa afya yako. Nimejaribu kufanya utafiti mdogo ikiwa ni pamoja na kuongea na ‘wavutaji mahiri’ na asilimia 90 ya wavutaji,  45…

TANZIA: Jaji Kisanga Afariki Dunia

Jaji mstaafu, Robert Kisanga amefariki dunia jana jioni katika Hospitali ya Regency Dar. Rais wa Chama cha Majaji Wastaafu, Thomas Mihayo amethibitisha. Kisanga aliwahi kuwa Jaji wa Mahakama Kuu na Mahakama ya Rufaa, pia alikuwa mwenyekiti wa Tume ya Haki…

RC NDIKILO-VIGOGO WASIOJULIKANA WALIOVAMIA MSITU WA HIFADHI WA KAZIMZUMBWI WASAKWE

Mkuu wa mkoa wa Pwani ,mhandisi Evarist Ndikilo (Wa kwanza kushoto)na kaimu meneja wa Wakala wa Misitu Tanzania (TFS)wilayani Kisarawe Mkoani Pwani, Endrew Mwenuo (wa pili kulia)na mkuu wa wilaya ya Kisarawe Happiness Seneda ( Wa kwanza kulia) wakiangalia namna…