JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: January 2018

RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN ATEMBELEA KIWANDA CHA SAMAKI SHARJAH EAST FISHING PROSESSING

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed, akiendelea na ziara yake katika Nchini za Umoja wa Falme za Nchi Kiarabu UAE, akitembelea Kiwanda cha Samaki Sharjah East Fishing Prosessing, kujionea utaalamu wa kuhifadhi samaki na…

NDUGU RAIS NAKUPONGEZA HATA KAMA HAWAPENDI

Ndugu Rais, nakupongeza kwa kuwaumbua akina ‘Grace’ wetu wanaokupigia chapuo uongezewe miaka ya urais. Wangekuwa ni watu wa kuona aibu wangetafuta mahali pa kuzificha sura zao. Lakini wauza utu sawa na wauza miili. Aibu waipate wapi? Kama Mugabe angempuuza Grace…

SERA YA ELIMU BURE INAHITAJI UMAKINI

NA ALEX KAZENGA Kitendo cha Rais John Magufuli kuagiza kuchukuliwa hatua kwa watendaji na viongozi katika maeneo ambayo shule za msingi na sekondari bado zinaendeleza tabia ya kutoza michango kwa wazazi, hata baada ya Serikali kutangaza kutoa elimu bila malipo,…

MKAA MBADALA UNAVYOCHOCHEA HIFADHI YA MAZINGIRA KILIMANJARO

NA JAMES LANKA, MOSHI Ukataji hovyo wa miti kwa ajili ya kuni na kuchoma mkaa unaotumika na wananchi wengi hasa wa kipato cha chini na cha kati kuwa nishati ya kupikia, unachochea uharibifu wa mazingira katika Mkoa wa Kilimanjaro. Ingawa…

MIMBA ZA UTOTONI ZINAVYOATHIRI WANAFUNZI DODOMA

NA EDITHA MAJURA Wanafunzi wa kike 710 mkoani Dodoma hawakufanya mtihani wa kumaliza elimu ya msingi mwaka jana, kutokana na sababu mbalimbali, 67 kati ya hao wakitokana na ujauzito. Taarifa ya sekta ya elimu inayowasilishwa na Afisa Elimu wa Mkoa,…

CAF YATOA ONYO MICHEZONI

NA MICHAEL SARUNGI Tatizo la rushwa kupenya katika mpira wa miguu limelitikisa Shirikisho la Soka Afrika (CAF) kiasi cha kuamua kufuta posho za waamuzi kulipwa na vyama na mashirikisho Afrika. Sasa posho zao zitalipwa moja kwa moja kutoka CAF kwa waamuzi…