JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: January 2018

Jose Mourinho Aongeza Mkataba Manchester United

Kocha Jose Mourinho akipongezana na Ed Woodward (kushoto) baada kuweka wino mpya. Kocha Jose Mourinho sasa ataifundisha Manchester United hadi mwaka 2020. Mourinho raia wa Ureno ameongeza mkataba huo wa miaka mitatu kwa mwaka mmoja zaidi. Pamoja na kwamba mashabiki…

WAZIRI UMMY AIPA SAPOTI KLABU YA AFRICAN SPORTS

Mwakilishi wa MBUNGE wa Viti Maalumu Mkoa wa Tanga (CCM) na Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia Wazee na watoto Ummy Mwalimu,Khatibu Kilenga kushoto akimkabidhi unga nahodha wa timu ya African Sports ambapo kiongozi huyo alitoa mchele kg100,unga wa sembe kg…

Haya Hapa Magazeti ya Leo Januari 26, 2018

Kama upo mbali na meza za magazeti mtaani kwako basi husipitwe na kilichoandikwa kwenye magazeti ya leo Ijumaa Januari,26, 2018 nimekuekea hapa

MSIBA WA GWAJIMA WAWAKUTANISHA MEMBE NA LOWASSA

Waziri Mkuu Mstaafu na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Edward Lowassa akiteta na Waziri wa Mambo ya Nje wa zamani, Bernard Membe walipokutana leo katika msiba wa mama mzazi wa Askofu Josephat Gwajima nyumbani kwake Salasala, Dar es Salaam….

MWENYEZI MUNGU ANAZIDI KUTENDA MIUJIZA KWA TUNDU LISSU

  Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA, Mbunge wa Singida Mashariki na Rais wa TLS, Mhe Tundu Lisu akiwa nchini Ubelgiji anapoendelea na matibabu na mazoezi ya kuimarisha viungo, huku akiwa ameweza kutembea mwenyewe kwa kutumia gongo na hali yake kuzidi kuimarika…

Daktari wa timu ya Olimpiki Marekani Atupwa Jela

Aliyekuwa daktari wa timu ya Olimpiki Larry Nasser amehukumiwa kwenda jela miaka 175 baada ya kukutwa na makosa ya ukatili wa kingono dhidi wananawake na wana michezo. Katika kesi hiyo mashahidi 160 wamewasilisha ushahidi wao huku Nasser mwenyewe alikiri makosa…