JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: January 2018

TCRA yafafanua Mtumizi ya Alama za Vidole Kwenye Usajili wa Laini

“Ndugu mteja katika kuboresha usajili wa laini za simu alama za vidole zitatumika kuanzia Februari 5, 2018. Kwa mawasiliano zaidi tembelea maduka yetu,”  ni ujumbe ambao watumiaji mbalimbali wa mitandao ya simu nchi wametumiwa kuanzia juzi kutoka katika mitandao…

Hawa Hapa Wanafunzi 10 Bora Na Wasichana 10 Bora Kitaifa, Kidato Cha Nne 2017

Baraza la Mitihani Tanzania limetangaza matokeo ya kidato cha nne iliyofanyika Novemba 2017 ambapo jumla ya watahiniwa 385,767 walisajiliwa kufanya Mtihani wa Kidato cha Nne 2017 wakiwemo wasichana 198,036 (51.34%) na wavulana 187,731 (48.66%).   Kati ya watahiniwa 385,767 waliosajiliwa,…

MENGI AIPA TWCC JENGO LAKE KUENDELEZA UJASIRIAMALI

Mwenyekiti wa Taasisi ya Sekta Binafsi nchini TPSF Dr. Reginald Mengi akifurahi jambo na Mwakilishi wa TRA, Rose Mahendeke (kushoto), Mkurugenzi Mtendaji wa Chemba ya Wajasiriamali Wanawake nchini TWCC, Bi. Noreen Mawalla (wa pili kushoto), Mwenyekiti wa Chemba ya Wajasiriamali…

Haya Hapa Magazeti ya Leo Januari 31, 2018

Kama upo mbali na meza za magazeti mtaani kwako basi husipitwe na kilichoandikwa kwenye magazeti ya leo Jumatano Januari,31, 2018 nimekuekea hapa

Tunahitaji Amani Kwenye Kampeni

NA MICHAEL SARUNGI Katika chaguzi ndogo za udiwani zilizofanyika mwaka jana, kuliripotiwa uwepo wa vurugu kiasi cha kusababisha baadhi ya vyama vya siasa kususia chaguzi zilizofuata katika majimbo ya Songea Mjini na Singida Kaskazini. Taarifa za uwepo wa vurugu katika…

MOROCCO YAJITOSA KOMBE LA DUNIA 2026 

NA MTANDAO Morocco imewasilisha rasmi maombi ya kuwa mwenyeji wa michuano ya Kombe la Dunia yanayotarajiwa kufanyika mwaka 2026, huku tayari ikiwa imezindua kampeni ya kuandaa michuano hiyo. Ikumbukwe kuwa hiyo haitakuwa mara ya kwanza kwa taifa hilo la Afrika…