Month: December 2017
BREAKING: George Weah Ashinda Kiti cha Urais
Mwanasoka bora wa Dunia mwaka 1996, George Weah ametangazwa kuwa mshindi wa kiti cha urais nchini Liberia baada ya kukamilika kwa duru ya pili ya uchaguzi.
Krisimasi Ilikuwa Chungu kwa Waasi ADF, Wachapwa Kutokea Uganda
Jeshi la Wananchi la Uganda (UPDF) limewashambulia waasi wa kikundi cha Allied Democratic Forces (ADF) cha Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC). ADF wanahusishwa na shambulizi la Desemba 7, mwaka huu lililofanyika kwenye kambi ya askari hao ya Simulike, Mashariki…
Bomu la Airtel, Vigogo Hawa Wamekalia Kuti Kavu
Moto aliouwasha Rais John Magufuli wiki iliyopita kwa kutaka ufanyike uchunguzi wa kina juu ya umiliki halisi wa kampuni ya Airtel umegeuka bomu linaloelekea kuwalipukia vigogo wanaoheshimika kwa kiasi kikubwa hapa nchini, uchunguzi wa JAMHURI umebaini. Tayari Taasisi ya Kuzuia…
SERIKALI YAFAFANUA KUHUSU CHANELI ZA BURE PINDI WANANCHI WANAPOISHIA NA VIFURUSHI
Kutokana na malalamiko ya mara kwa mara kwa wananchi kuhusu kukosa huduma ya runinga za bure pindi vifurushi katika visimbusi (ving’amuzi) vyao vinapomalizika, serikali imetolea ufafanuzi suala hilo kwa kueleza namna mfumo wa utendaji unavyotakiwa kufanya kazi. Akijibu maswali ya…
Hali ni Tete Sudan Kusini
Tangu serikali ya Sudan Kusini kuikamata kambi ya waasi Kusini Magharibi mwa nchi hiyo wiki iliyopita, mamia ya wakimbizi wameendelea kukimbilia nchi jirani ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Miongoni mwao huenda wamo waasi, na jeshi la Kongo ambalo linahofia…
Wabunge Walaani Kuchomwa kwa Nyumba ya Kabila
Wabunge wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Jumatatu walilaani kitendo cha kuchomwa kwa nyumba ya rais Joseph Kabila. Katika taarifa ya pamoja, wabunge hao walikiita kitendo hicho kuwa cha kinyama na kutoa wito kwa raia kuotojihusisha na vitendo ambavyo vingechangia…