Month: December 2017
SERIKALI YAWATAKA WATUMISHI WA UMMA KUWASILISHA MALI ZAO NDANI YA MWAKA HUU
KAMISHNA wa Maadili Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma, Jaji Mstaafu, Harold Nsekela, amesema sheria ya maadili ya viongozi wa umma kupitia kifungu cha 9 (1) (b) inamtaka kiongozi wa ummma kila ifikapo mwisho wa mwaka kupeleka kwa kamishna…
MWALIMU NYERERE: MAENDELEO NI KAZI
Hotuba ya Rais wa Chama, Mwalimu Julius K. Nyerere, Kwenye Mkutano Mkuu wa TANU wa 16. Waheshimiwa sasa ningependa kuufungua Mkutano wetu rasmi. Nasema katika ufunguzi huu kazi yangu kwa leo itakuwa, asubuhi hii, ni kuwasilisha kwenu Taarifa ya mambo…
Turejeshe Rasilimali za Umma Pasipo Migogoro
Tangu ilipoingia madarakani baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25, 2015, Serikali ya Rais John Magufuli imefanya uamuzi mgumu unaohusu kurejesha mali za umma zinazodaiwa kuhujumiwa pasipo kujali maslahi mapana ya nchi. Ipo orodha ndefu ya matukio yanayodhihirisha kufikiwa kwa…
Wizara ya Lukuvi ‘yashindwa’ Kutekeleza Agizo la Waziri Mkuu
Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi haijatekeleza agizo la Ofisi ya Waziri Mkuu, kuwachukulia hatua watendaji wa Halmashauri ya Mji wa Kahama kwa uzembe na kukaidi agizo la kushughulikia uporwaji ardhi na nyumba ya mkazi wa kijiji cha…
RAIS MAGUFULI ASHINDA TUZO YA MANDELA
Kamati ya Tuzo za Mandela huko Afrika Kusini zimempa Rais John Magufuli Tuzo ya Amani ya Mandela ya Mwaka 2017 ikiwa ni kutambua jitihada zake katika kulinda amani na kupigania usawa wa kijamii. Tuzo hiyo ya amani ya Mandela ilikuwa…