Month: December 2017
Majibizano Hayasaidii Ujenzi wa Demokrasia
Katika siku za karibuni kumekuwapo na malumbano kati ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Malumbano hayo yalitokana na kada wa Chadema, David Djumbe, aliyepitishwa na NEC kuwania kiti hicho, kuwasilisha barua ya kujitoa…
Haya Hapa Magazeti ya Leo Disemba 29, 2017
Kama upo mbali na meza za magazeti mtaani kwako basi husipitwe na kilichoandikwa kwenye magazeti ya leo Ijumaa Disemba, 29, 2017 nimekuekea hapa
Wachina Waamua Kujitosa Muhogo Tanzania
Leo naomba kuanza makala yangu kwa kukutakia heri ya Krismasi mpendwa msomaji wangu. Lakini pia nichukue fursa hii kuwashukuru nyote mlioniletea salaam za pole kwa wiki yote iliyopita wakati nimelazwa na kufanyiwa upasuaji katika Hospitali ya Kairuki jijini Dar es…
Chama cha Siasa ni Umoja
Wapo wanasiasa nchini ambao wamezua mtindo wa kuhama kutoka chama kimoja cha siasa na kujiunga na chama kingine. Na wakati mwingine wamekuwa wakihama kwenda chama kingine, lakini baadaye wakirudi katika chama cha awali. Sababu zinazoelezwa kuhusiana na hatua hiyo ni…
WALLANCE KARIA APIGA MARUFUKU MASHINDO YASIYOTAMBULIKA NA TFF
Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia amefuta mashindano yoyote ya soka yaliyo nje ya mfumo wa shirikisho hilo isipokuwa tu kwa kibali maalum. Karia ameyasema hayo katika Mkutano wake na Wahariri wa vyombo vya habari ambapo amesema…
Haya Hapa Magazeti ya Leo Disemba 28, 2017
Kama upo mbali na meza za magazeti mtaani kwako basi husipitwe na kilichoandikwa kwenye magazeti ya leo Alhamisi Disemba, 28, 2017 nimekuekea hapa