Month: December 2017
Mnyika Anena Kuhusu Barua Inayosambaa Mitandaoni
Mbunge wa Kibamba, John Mnyika (CHADEMA) amekanusha taarifa zinazosambazwa kwenye mitandao ya kijamii kwamba amejiuzulu nafasi ya Naibu Katibu Mkuu Bara ndani ya CHADEMA Kupitia mitandao ya kijamii imesambazwa barua inayodaiwa ni ya Mnyika ambayo imedai amejiuzulu nafasi yake ili…
CCM Wapiga Kura Kuchagua Viongozi Wapya Iringa
Wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Iringa wamepiga kura kuchagua uongozi mpya leo Desemba 5, 2017. Mjumbe wa NEC Mh. January Makamba akizungumza na kutoa utaratibu wa wagombea na wapiga kura katika uchaguzi mkuu wa viongozi wa Chama…
Ummy Mwalimu Asifia Benk ya NMB Kwa Kutoa Elimu ya Fedha kwa Watoto, Wazazi na Vijana
Waziri Wa afya maendeleo ya jamii, jinsia wazee na watoto,Ummy mwalimu amesema Benki ya NMB katika kipindi hiki cha serikali ya Awamu ya tano chini ya Rais Dkt. John Magufuli imedhamiria kuboresha na kuendeleza elimu ya fedha katika ngazi…
Magufuli: Naombeni Kampuni ya Total Mharakishe Ujenzi Bomba la Mafuta
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amekutana na viongozi wa kampuni ya Total ambayo ni mwekezaji mkubwa wa mradi wa ujenzi wa bomba la mafuta ghafi la kutoka Hoima nchini Uganda hadi bandari ya…
Majambazi Watatu Wauawa na Kupatikana kwa Silaha Ak.47
Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dsm mnamo tarehe 28/11/2017 na tarehe 30/11/2017 askari walifanya oparesheni maalum ambayo ilifanikisha kukamatwa kwa watuhumiwa watatu ambao wanajihusisha na matukio ya uporaji na mauaji mbalimbali katika jiji la Dar es salaam. Baada ya…
Polisi Watoa Tamko Sherehe za Uhuru Desemba 9 , 2017
Jeshi la Polisi Mkoani Dodoma limewahakikishia usalama wageni wote wanaotarajia kuhudhuria sherehe za maadhimisho ya siku ya Uhuru, Disemba 9 na kuwataka kuwa na amani kwani Jeshi hilo limejipanga kikamilifu. Akizungumza na waandishi wa habari jana Jumatatu, Disemba 4, Kamanda…