JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: December 2017

WAZIRI MKUU AMALIZA MGOGORO WA LOLIONDO

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemaliza mgogoro wa matumizi ya pori tengefu la Loliondo ambao umedumu kwa takriban miaka 26.   Hatma hiyo imefikiwa jana (Jumatano, Desemba 6, 2017) kwenye kikao kilichoitishwa na Waziri Mkuu ofisini kwake Mlimwa, Manispaa ya Dodoma…

Maagizo 14 ya Naibu Waziri TAMISEMI Mh. Josephat Kandege kwa Tawala za Mikoa

Naibu Waziri wa Tamisemi Mh. Josephat Sinkamba Kandege ametoa maagizo 14 kwa Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi wote Tanzania bara ili kuboresha upatikanaji bora wa huduma za kijamii katika maeneo yao na kuondoa changamoto zilizopo. Ametoa maagizo…

Kamati ya UN Kutetea Haki za Wapalestina Yazungumza na Waziri Dk. Mwakyembe

  KAMATI maalum ya Umoja wa Mataifa (UN) iliyoundwa kutetea haki za msingi za raia wa Wapalestina imekutana na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe kwa mazungumzo maalum walipomtembelea ofisini kwake jijini Dar es Salaam. Akizungumza…

Mtatiro: Sina Sifa ya Kuwa Mbunge wa Jimbo la Kinondoni

Julius Mtatiro anasema amepokea meseji nyingi sana zikimuomba agombee ubunge jimbo la Kinondoni baada ya Mbunge wa (CUF – Lipumba), Ndugu Maulid Mtulia kuhamia CCM. Ammesema kwamba msimamo wake kuwa hana ndoto za kugombea ubunge wa jimbo la Kinondoni. Masuala…

Leo Disemba 7, 2017 Nimekusongezea Magazeti

Kam upo mbali na meza za magazeti mtaani basi Husipitwe na kilichotokea kwenye magazeti ya leo Alhamisi Disemba, 7, 2017 nimekuwekea hapa.